Bei kubwa Sana hiyo punguza mkuu
kweli kabisa milion 13, alaf 110 humpati mtu wenzao wnauza hadi 8 au 9mln mwache atapiga nalo picha tuMkuu hawa jamaa sijui vipi, yaani bei zao ziko juu sana. Sasa kwa bei hiyo si ni bora mtu uagize ya kwako direct toka japan tena ina milleage ndogo kuliko hiyo na chenji inabaki nyingi tu ya kutilia fujo mtaani
kweli kabisa milion 13, alaf 110 humpati mtu wenzao wnauza hadi 8 au 9mln mwache atapiga nalo picha tu
Kuna watu wanakatisha tu tamaa hebu someni KM ilizotembea hiyo gari jamani, mnataka auze bei aliyonunulia huko japan halafu yeye akale police. kama unaona unaweza kununua japan kwa bei nafuu si uende kimya kimya tu
usimdiscourage mwenzio, hizo za bei hiyo unayosema quality yake ni sawa na hii?
Hahahahahah....
Kwa bei hiyo ikipungua kidogo inatosha.
Gx110 is the best solon car so far...japo ina diff....to me that's a minus.