Toyota wish 2003 inauzwa customized

Toyota wish 2003 inauzwa customized

rasomaka

Senior Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
115
Reaction score
139
Habarini,

Ninauza gari yangu aina ya Toyota Wish ikiwa na maelezo yafuatayo;

YOM- 2003
Car: Toyota Wish
Colour- Black
CC: 1800
Gear: Auto
Fuel: Petrol
Doors: 5
Seats 7
Number: CLK
Location: Dar es Salaam- Mbezi Beach

Gari ipo cutomized na Mziki mkubwa (Subwoofer, Busta, Twitter, CrossOver), Taa za HID za Fog kwenye bumper, Rims Original za gari, TV mbili mbele na nyuma zenye uwezo wa kupiga CD, USB, Memory Card, TV etc, Car Alarm, Comprehensive Insurance, Haidaiwi Road Licence, Body Kits. Ninauza kwa sababu nimeagiza gari nyingine na hivyo sihitaji kuwa na magari mawili kwa sasa. Napatikana kwa watsapp pekee 0656-994450 na meseji za kawaida tu.

Bei ya gari ikiwa na vitu vyote hivyo nilivyotaja bila tamaa ni Tsh 10,200,00/=. Picha zaidi za gari zimeambatanishwa kwa urahisi wa uangalizi wenu.

Shukrani na Karibuni
- IMG_3812.JPGIMG_4441.JPGIMG_5286.JPGIMG_5288.JPGIMG_5283.JPGIMG_5292.JPGIMG_5297.JPGIMG_5289.JPGIMG_4439.JPGIMG_5281.JPG
 
Back
Top Bottom