poa mkuu,thanx,hivi hizi gari zina tatizo gani kuu linalowasumbua mafundi wetu manake watu wengi wanaziongelea vibaya
mkuu tatizo kubwa la gari hizi ni mafuta na hazitaki magumashi kabisa coz zinaumeme mwingi sana zina sensor kila kona .
kibongo bongo sio nzuri sababu hizi gari hazitaki mafuta ya magumashi ya kuchakachua hasa kwa hapa bongo mkuu mbona ni pressure yaani hii gari unaweza weka mafuta mabaya hapo hapo inaweza ikakugomea kuwaka au kama itawaka basi na miss balaa? mafuta yakuchakachua huwa yanazi athiri sana nozel na mfumo mzima wa mafuta na engine inakuwa inaja sana uchafu so kama utakuwa na mkwanja nunua tu ila kila ikianza kuzingua piga chini nozzel zote 4 na pump ya d4 maisha yasonge garama za kila nozel 1 mpya si chini ya laki 1. pump ya d4 laki 3 kwenda juu hilo nikadilio la chini sana ukitaka zaidi nenda master card utoke bila kuaga.
tatizo lingine common ni upande wa gear hili sio la kuuliza hili ni kwa rav 4 na noa na voxy.
ukiona limeanza kugonga gear sisi huwa tunasema kupiga mateke unapo weka toka kwenye p mpaka d au r basi ujue no way control ndio inaaga hivyo utaliwa pesa yako bure na mafundi engine na umeme kama hawatasema tatizo hilo ni la control box. na tatizo hilo mda mwingine unapo endesha gari inapo badili gaer lazima unasikia kama inastuka hivi.
kama unataka unufaike na usiwe na pressure nunua noa yenye engine ya 3s fe usinunue gari yenye engine ya FSE na maana d4
Shukrani sana kaka mkuu,hakika shule yako imenipa muongozo fulani hv wa maana tu,sasa mkuu,vp kuhusu hivi vi toyota IST na PASSO,nazo unazionaje,hazina mausumbufu ya aina ya hyo voxyy?,manake navyo navielewa sana tu sema nagopa kuingia mzimamzima kabla sijawauliza wakuuuu wenye kuvijua vyombo hivyo