Weka bei kama unauza ? Ila jalbu kuchunguza kama ni 4x4 zipo izo zinakula sana mafuta na kuzingatia plugs original nk fuel filter nkWakuu habari za weekend, nina Toyota vitz 2011 1.3L inakula mafuta 8.8km/l.Je hii ni kawaida kwa gari ya aina hiyo kweli??
Natafuta vitz old modelHahahah!!bado naipenda siwezi kuuza kwa sasa wacha nicheck plugs
Ngoja waje wataalam tupate madiniWakuu habari za weekend, nina Toyota vitz 2011 1.3L inakula mafuta 8.8km/l.Je hii ni kawaida kwa gari ya aina hiyo kweli??