Toyota Rav 4 for sale (kilitime)

Toyota Rav 4 for sale (kilitime)

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,201
Reaction score
6,269
Toyota Rav 4 inauzwa ya mwaka 2002 haijatembea zaidi ya km 100,000, ni used form UK, ila ina tatizo la transfer. Bei ni 14 million... Intrested buyers send me pm.
Maelewano pia yapo
Btw, gari ipo zanzibar. ImageUploadedByJamiiForums1389255819.686018.jpgImageUploadedByJamiiForums1389255857.769670.jpgImageUploadedByJamiiForums1389255881.218144.jpgImageUploadedByJamiiForums1389255919.201478.jpg
 
Nina shida sana na Rav4 ila nilipoiona hiyo kuwa ni Automatic Transmission nimeghairi! Kila la kheri Mkuu!
 
Mkuu wewe ni mpenzi wa Manual? Ni nadra sana kutokea watu kupenda Manual ila asante mkuu. Kama ikitokea ya manual nitakujuilisha.
 
Rav 4 europe version ya 2001 and 2002 zina factory default ya control box ... inayosababisha matatizo ya transmition
 
Transmission shida gani,ushuru fully paid???!!!

Mkuu mie sielewi maufundi ya haya mambo, ila tatizo ndio hilo, gari imwekwa tu, hali ngumu kwa sasa ndo mana inauzwa kwa bei hio.... Ushuru imelipiwa Zanzibar tayari.
 
Rav 4 europe version ya 2001 and 2002 zina factory default ya control box ... inayosababisha matatizo ya transmition

Apo sijakupata kabisa, mana nshaziona rav 4 za UK zikipiga misere njiani na hazina tatizo lolote la transmission...
 
Oky sawa, ila bado zinauzwa, na zipo barabarani zinatembea, na namjua hasa mtu anamiliki ya UK sijawahi kumsikia akilalama. Pamoja na kuwa zina ilo tatizo, zinatengenea fresh

Ni kweli, haimaanishi kuwa hazipo barabarani! Kumbuka mwaka juzi Toyota ilirecall magari aina ya Prius karibia laki moja kwa ajili ya matatizo ya breki, ni kawaida kwenye production kukatokea fault inayoweza kuathiri batch fulani, lakini ikifanyiwa matengenezo kitu kinatulia, btw hiyo gari inahitaji fundi anayejua nini anafanya ndiyo ikae barabarani, na kwa bei unayoiuza ukiweka na gharama za matengenezo si mchezo.
 
Hivi ufundi wake uko kwenye nini? Manake niliwahi kukutana na hii pasua kichwa nilikoswa koswa kibahati tu na maradhi ya moyo....I had to dispose the car at a throw away price.
 
Nimejaribu kuulizia, ufundi hauzidi zaidi ya milioni, tatizo saiv life imebana, mzee kaishiwa na uwezo wa kuitengeza na bei isikushtue, tunaweza kuongea ikiwa mtu ni serious buyer!.... Umetoa maelezo mazuri, tatizo watu hufikiri kama iyo ni permanent fault kitu ambacho hakiwezekani...
 
Hivi ufundi wake uko kwenye nini? Manake niliwahi kukutana na hii pasua kichwa nilikoswa koswa kibahati tu na maradhi ya moyo....I had to dispose the car at a throw away price.

Kama ingekuwa kwa wenzetu wanaonunua moja kwa moja kutoka kwa authorised dealers ni kazi rahisi kwa sababu gari inakuwa na warant (RAV4 za 2001-03 ni miaka 10, au 250,000 km) kwa hiyo hilo tatizo ukiliona unapeleka wanarekebisha bila gharama. Huku kwetu inategemea na ugonjwa umeshafika hatua gani, lakini mara nyingi solution ni kurepaire au kubadili kabisa computer nzima, mafundi wa mtaani ambao hata veta hawajapitia watakuharibia na kukumalizia pesa bure, dawa ni kweda kwa maengeneer wa Toyota wenyewe wanalifahamu vizuri sana tatizo hilo, unaacha gari na funguo hapo baada ya siku kadhaa wanakupigia simu unaenda kuchukua, ZINATENGENEZEKA!
 
Kwa hapa zanzibar yupo jamaa ni authorised by TOYOTA, maarufu panaitwa kwa BUDA unaweza ata ukampelekea yeye akamaliza matatizo.
 
Kama ingekuwa kwa wenzetu wanaonunua moja kwa moja kutoka kwa authorised dealers ni kazi rahisi kwa sababu gari inakuwa na warant (RAV4 za 2001-03 ni miaka 10, au 250,000 km) kwa hiyo hilo tatizo ukiliona unapeleka wanarekebisha bila gharama. Huku kwetu inategemea na ugonjwa umeshafika hatua gani, lakini mara nyingi solution ni kurepaire au kubadili kabisa computer nzima, mafundi wa mtaani ambao hata veta hawajapitia watakuharibia na kukumalizia pesa bure, dawa ni kweda kwa maengeneer wa Toyota wenyewe wanalifahamu vizuri sana tatizo hilo, unaacha gari na funguo hapo baada ya siku kadhaa wanakupigia simu unaenda kuchukua, ZINATENGENEZEKA!

Basi mie sikuwa na bahati, nilianza na hao hao Totota wakasema issue ni gear box yote ibadilishwe...quote ya gear box waliyonipa gari jingine na nusu...khaaa....nilitoka kama nimenyeshewa...
 
Nina shida sana na Rav4 ila nilipoiona hiyo kuwa ni Automatic Transmission nimeghairi! Kila la kheri Mkuu!

SJUMAA26 mimi ninayo RV4 kili time, ipo hapa bongo na ni manual, gari ni almost mpya, kama unataka ni pm tufanye biashara
 
Basi mie sikuwa na bahati, nilianza na hao hao Totota wakasema issue ni gear box yote ibadilishwe...quote ya gear box waliyonipa gari jingine na nusu...khaaa....nilitoka kama nimenyeshewa...

Hahaa. pole sana dada! Kwa hiyo ukaamua kuiuza gari yenyewe, wajanja wakaichangamkia nadhani sasa hivi inachapa mwendo barabarani kama kawaida! Ndiyo hivyo tena mkuu, mjini ujanja!
 
I wish ningeiuza pale pale...coz nikakutana na mafundi mchundo kama wanne, kila mmoja kwa wakati wake...kila mmoja akalipwa...gari haikupona. Nikanyoosha mikono nikauza....nina uhakika aliyeendelea nayo akiniona mtaani anachekea tumboni tu....Kabla ya tatizo hilo (lenyewe lilikuwa haliwezi kwenda moja kwa moja, kama linakwama kwama hivi mfano wa mtu anayefunga breki after every two seconds), the car was super great..
 
Back
Top Bottom