Toyota Rav 4 for sale (kilitime)

Toyota Rav 4 for sale (kilitime)

Basi mie sikuwa na bahati, nilianza na hao hao Totota wakasema issue ni gear box yote ibadilishwe...quote ya gear box waliyonipa gari jingine na nusu...khaaa....nilitoka kama nimenyeshewa...

Hao hao mafundi wa Toyota wana garage zao ukiwafata kitaa wanakupa service kwa bei poa. Ukienda ofcn wahindi wale lazima wakubamize.

"Mjini akili kijijini nguvu"
 
Hao hao mafundi wa Toyota wana garage zao ukiwafata kitaa wanakupa service kwa bei poa. Ukienda ofcn wahindi wale lazima wakubamize.

"Mjini akili kijijini nguvu"

Nalijua hilo, shida yangu ya kuingia Toyota ilikuwa nipate reliable diagnosis ya tatizo la gari ni nini....
 
I wish ningeiuza pale pale...coz nikakutana na mafundi mchundo kama wanne, kila mmoja kwa wakati wake...kila mmoja akalipwa...gari haikupona. Nikanyoosha mikono nikauza....nina uhakika aliyeendelea nayo akiniona mtaani anachekea tumboni tu....Kabla ya tatizo hilo (lenyewe lilikuwa haliwezi kwenda moja kwa moja, kama linakwama kwama hivi mfano wa mtu anayefunga breki after every two seconds), the car was super great..

Na hilo tatizo huwa linaanza taratibu, inakuwa kama inakuwa ngumu kuingage, inakwamakwama, wakati mwingine tatizo linatoweka lenyewe hata siku kadhaa, baadaye linarejea tena, sasa usipopata fundi mzuri katika initial stage tatizo linaongezeka, lakini kama ukipata fundi mzuri pale anashughulikia na gari inatulia tuliii, tofauti na hapo utazichukia RAV4 zote ukiziona unasema "gari mbovu sana hizi"! Na mafundi mchundo huwa hawawezi kusema hawawezi, anachukua pesa anagonga nyundo akishindwa anaanza kukupiga kalenda mpaka unakasrika na kwenda kuchukua gari, anacheka kimoyomoyo. Pole sana Mkuu, ndiyo huwa tunapata uzoefu namna hiyo.
 
Utafikiri ulikuwepo...kila nikiona gari iliyotoka UK najiapiza mwenyewe kichinichini....Siku moja nikasoma bwana Lukosi anasema tusizinange gari za UK, ni nzuri sijui blahh blah...nikajisemea kimoyoni kuwa mimi tena hamnipati....Anyways, ndio tunavyopata uzoefu kama ulivyosema...
 
sasa hukupata hilo suluhisho?

Si ndio nimesema walisema tatizo ni gear box, inatakiwa itolewe iwekwe nyingine....wakanipa na quote ambayo nimelinganisha na gari nyingine moja na nusu? Nikarudi mtaani tukabadili gear box na bado tatizo likawa pale pale....kifupi sikupata fundi sahihi...
 
Back
Top Bottom