Toyota Raum 2004 inauzwa

Kingo

JF-Expert Member
May 12, 2009
856
391
Toyota Raum 2004 inauzwa bei 8.7m NEGOTIABLE.
Milage 128,000, inatembea, haina tatizo lolote, mifumo yote inafanya kazi, kiyoyozi kipo sawa, vibali vyote vimelipiwa.
Lipo Morogoro Manispaa. Kwa maelezo au picha zaidi
pm au call/text 0715822249

(PICHA ZINASHINDWA KU-UPLOAD)
 
Back
Top Bottom