Tough lady
Senior Member
- Jul 24, 2013
- 151
- 183
Iwe na mwezi mmoja tu bongo but iuzwe chini ya 6.5Mil??Natafuta Toyota Passo ya kuanzia mwaka 2004 na kuendelea, iwe nzuri, imelipiwa ushuru na kama imesajiliwa bongo isiwe na zaidi ya mwezi 1..bei mil 5.5 hadi 6.5, isiwe nyeupe au njano...
Usipige kuniambia kuwa una aina nyingine ili kunibadili mawazo,...
Message hazitajibiwa...
Call 0765 612193::
Anaota ndoto za mchana huyo.Iwe na mwezi mmoja tu bongo but iuzwe chini ya 6.5Mil??
Yaani CIF + Kodi + Faida < Tshs 6.5Million??!!!
That is IMPOSSIBLE dada!!
Iwe na mwezi mmoja tu bongo but iuzwe chini ya 6.5Mil??
Yaani CIF + Kodi + Faida < Tshs 6.5Million??!!!
That is IMPOSSIBLE dada!!
Iwe na mwezi mmoja tu bongo but iuzwe chini ya 6.5Mil??
Yaani CIF + Kodi + Faida < Tshs 6.5Million??!!!
That is IMPOSSIBLE dada!!
kwa kawaida huwa ni bei gani?
Mimi ninayo ya 2004 silver,cc990,registered oct 2013,nataka7m
Mimi ninayo ya 2004 silver,cc990,registered oct 2013,nataka7m
Mimi ninayo ya 2004 silver,cc990,registered oct 2013,nataka7m
Rangi gani?..
Sidhani aisiNi kweli filter inauzwa 80,000/=?