Toyota noah 2002 inauzwa

Toyota noah 2002 inauzwa

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
52
Wakuu Heshima mbele

Namuomba MODS anitolee Tangazo langu la kuuza gari kwenye habari mchanganyiko aliweke hapa.

Bonya hapa Muone nilikosea nikalituma kule

Gari hiyo inauzwa haraka
 
Wakuu Heshima mbele

Namuomba MODS anitolee Tangazo langu la kuuza gari kwenye habari mchanganyiko aliweke hapa.

Bonya hapa Muone nilikosea nikalituma kule

Gari hiyo inauzwa haraka

Did you find this post helpful? |
icon10.png
Toyota noah 2002 inauzwa

Heshima wakuu.
Gari inauzwa Toyota Noah 2002 Silver
KM-60000
Colour:Silver
Insurance : comprehesive
Ipo: haina tatizo.
Jamaa alikuwa anataka kufanyia Biashara ya Harusi sasa ameamishwa kikazi anakwenda Kigoma. Bei ya kuanzia 19-Milioni. Agenti anatakiwa ili iuzwe haraka Garanteee miaka yote tokea ununue kuandikishiana mahakamani.
Wahi ofa hii haraka
email:masgtz@yahoo.com au namba ya simu +255784669533​
 
mkuu sikukatisha tamaa lakini bei uliyo anza nayo ni kubwa sana. tena sana, jaribu kuingia soko la hapa bongo angalia bei zake ndio upange bei kama kweli unataka kufanya biashara, halafu hizi gari ni ngumu kuuza kuliko zile Noah za old model
kwa msaada zaidi cheki na kitomai,
 
Nashukuru Mlachake ndio maana nilihitaji Dalali ili niweze bageni nae Bei kwani najua mtu akini text meseji kwa phone yangu nitajua jinsi ya kuongea nae. poa kaka.
 
Back
Top Bottom