Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 50
- Thread starter
- #21
VIpi Bana IDIMI hapo penye Blue ulitaka nikifika kwenye Yard yenu nikutafute??? nikwambie au ulitakaje???Hapo pekundu ni uongo.
Yard kwetu Mwenge hukufika.
VIpi Bana IDIMI hapo penye Blue ulitaka nikifika kwenye Yard yenu nikutafute??? nikwambie au ulitakaje???Hapo pekundu ni uongo.
Yard kwetu Mwenge hukufika.
Mheshimiwa!! Watu wanajua magari ndio maana wamekaa kimya!!!Wakuu Tazama picha uzuri kisha u comment inaelekea watu hawana magari au hawazijui Noah hizi wana wanadhania ni zile ndogo hii kama unataka kubeba abiria ni 14 na zile za mwaka 2001 kurudi nyuma ni nane tu sasa nitofauti. Hata Ukubwa si sawa hii ya mwaka huu 2002 Viti vyake vinaweza kubadilishwa mara nne 1-kiwe kitanda, 2-pawe sebule na meza,3- pawe uwanja wa kuchezea watoto na 4-pawe sehemu ya kubadilishana mawazo wote kuangalia mbele. haya sasa semeni hapo.
[COLOR=black said:Original Pastor[/COLOR];1813686]Wakuu vipi au humu ndani watu tunauza sura tu. Yaani hakuna mwenye kuhitaji hiii?????????
Kwakweli hilo gari halifai. Kama unaweza kugeuza ikawa sehem ya kuchezea watoto! What about safety issues? Au wanafungwa na mikanda na wanakalia viti vyao huku wanacheza??? Pls!!Wakuu Tazama picha uzuri kisha u comment inaelekea watu hawana magari au hawazijui Noah hizi wana wanadhania ni zile ndogo hii kama unataka kubeba abiria ni 14 na zile za mwaka 2001 kurudi nyuma ni nane tu sasa nitofauti. Hata Ukubwa si sawa hii ya mwaka huu 2002 Viti vyake vinaweza kubadilishwa mara nne 1-kiwe kitanda, 2-pawe sebule na meza,3- pawe uwanja wa kuchezea watoto na 4-pawe sehemu ya kubadilishana mawazo wote kuangalia mbele. haya sasa semeni hapo.
mi najua bei ya noah ni milioni 12...
na hapa nilipo nina milion 10
kama vipi nichek
hawezi kupata mteja kwa bei hiyo. hizo gari ni 12M iliyotumika nje sasa hii imetumika na Tz pia. anyway biashara matangazo.
Rudieni kusoma kwa sauti haya mamneno yenye BlueWakuu nimeona Madharau humu ndani kibao kumbe wote tunalingana tu uwezo anayetoa Comment hana na wala afikiriii kununua gari basi taaabu kweli kweli. Msijali nimepata Mteja sasa sio kupitia hapa nilipeleka Yard na sasa Imenunuliwa kwa bei ya dola USD 13000. sawa na TSHS 19,500,000 kwa rate ya USD moja = TSHS 1500/= Asanteni kwa michango yenu ya kuvunja moyo na mingine ya kufurahisha ila TUBADILIKE TUWE SIRIASI HUMU WAKUU HATUKUJA KUUZA SURA BONGO.
Kamanda Nina million 11 cash
My contact is
you can email
richardnguma@gmail.com
or usa@privatesafariclub.com
Text +1501 5451182
I hope to hear from u soon
Richard
kafanye daladala bana!!! We c una hela!!!! hatutaki dharau hapa!!!!