Toyota new models designs zake mbaya

lordchimkwese

JF-Expert Member
Nov 16, 2015
1,914
3,354
Wakuu naona designers wa toyota wanafeli kwny baadhi ya new model zao sura zake yani bodi mbaya kuliko model za nyuma..
Mfano Mark x, landcruiser prado, passo naona mbaya kuliko za nyuma..
Maoni yenu yapoje wadau na je nyingine ipi mnaona wamechemka...
 
Una hoja nzuri nakubaliana nawe. ungeweka picha watu wangekuelewa zaidi. jaribu kweka picha ndugu

Wakuu naona designers wa toyota wanafeli kwny baadhi ya new model zao sura zake yani bodi mbaya kuliko model za nyuma..
Mfano Mark x, landcruiser prado, passo naona mbaya kuliko za nyuma..
Maoni yenu yapoje wadau na je nyingine ipi mnaona wamechemka...
 
Hawa jamaa wame fail miserably... Huwezi linganisha Toyota Hilux hizi new model na zile za model ya zamani... They are a total mercy...
 
Uko sahihi mkuu hata mimi Prado na Mark x new model kwenye designing naona wamefail.
 
Teknolojia inakua kwa kasi,usitegemee wakumbatie muundo wa miaka ya 90 mpaka leo,lazima wabadilike na waunde magari ya kisasa zaidi.
Hilo ni lazima litokee na yataendelea kubadilika sana.
e88f4c674d7bf3d100b02aa08940539e.jpg
Kama Mark X new model unalalamika ina sura mbaya je hilo hapo utasemaje??
 
Ha ha ha ha
 
Land cruiser za 2005-2006 tamu aisee.
 
Attachments

  • Screenshot_2017-03-10-22-57-32.png
    Screenshot_2017-03-10-22-57-32.png
    264 KB · Views: 101
  • Screenshot_2017-03-10-23-01-58.png
    Screenshot_2017-03-10-23-01-58.png
    195.4 KB · Views: 83
  • Screenshot_2017-03-10-23-04-12.png
    Screenshot_2017-03-10-23-04-12.png
    229.8 KB · Views: 80
  • Screenshot_2017-03-10-23-06-03.png
    Screenshot_2017-03-10-23-06-03.png
    208.5 KB · Views: 91
Teknolojia inakua kwa kasi,usitegemee wakumbatie muundo wa miaka ya 90 mpaka leo,lazima wabadilike na waunde magari ya kisasa zaidi.
Hilo ni lazima litokee na yataendelea kubadilika sana.
e88f4c674d7bf3d100b02aa08940539e.jpg
Kama Mark X new model unalalamika ina sura mbaya je hilo hapo utasemaje??
Mimi nakubaliana na mleta mada, hio hapo picha uloweka ni sura nzuri, inonesha aggresiveness. Lakini kama kawaida yao toyota, gari hio wataifunga engine yenye 250 HP afu bei yake mpya utasikia $35,000! I mean WTF is wrong with toyota? look at the FT86, wakati ndo kwanza iko concept car nikajua walau, walau itakuja kusumbuana na nissan GTR, kumbe imekuja kusumbuana na engine za mark x! Halafu ukiiona hio FT86 nje utasema ndani itakuwa hatari, ukiingia ndani maplastiki tu dam.n Toyota. Anyways their new models zinaonekana kama hazina nyama, body zake zinaonekana hazijashiba utafikiri mgonjwa wa ukimwi. Markx ya zamani ni nzuri kuliko new models in terms of shape, ukipita njiani ni eye catching, hizo new models, ovyo. Tizama BMW zilivo au Mercedez, inaiona asa gari imeshiba minyama nyama ya body, mpaka inavutia kuitizama.
 
huu Uzi unachangiwa na watu baadhi ambao pasi na shaka hata bajaji hawana, halafu zikija maada za magari anajua mpaka madini yaliyotumika kuundia dash-board ya V8, tehetehe
 
Wakuu naona designers wa toyota wanafeli kwny baadhi ya new model zao sura zake yani bodi mbaya kuliko model za nyuma..
Mfano Mark x, landcruiser prado, passo naona mbaya kuliko za nyuma..
Maoni yenu yapoje wadau na je nyingine ipi mnaona wamechemka...
Mark x mpya tam we
 
Back
Top Bottom