Toyota mark X

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
290
Toyota Mark X nataka kujuwa zaidi kwa wale wengine wanazozitumia kama kuna common changamoto wanazokutana nazo zaidi ya kujaza full tank Ltrs 70 na uchumi wa sasa. Kwenye kuitumia kwa matumizi ya kila siku nini kinajitokezaga mbeleni. Juzi tuu nilienda kwa fundi wangu nayemuamini akaniambia hii kitu ikikwama porini usiniite, nikuvuta tuu mANake parts zimefichwa sana kwenye engine mpaka kukifikia kama ni kitu kikizingua na jinsi ilivyo chini.
 
Gari nzuri, mafuta tu ndo issue, kuna mtu anaendesha mark x mwaka wa kumi na sasa hivi

Ile ingine block ilipochengewa naikubali aisee mpaka life lile body nazani ndo itachoka kwanza kama gari inamatunzo.
 
shida ya hayo magari malaini sana hizo bodi zake..likipata ajali kusqlimika mtu ni muujiza..
 
vipi kuhusu ubora WA Toyota Premio new model ? Bei ya mtaani yaani kununua kwa Mtu ?
 
Juwa matumizi ya PWR.
Hizi mvua mvua juzi Kati hapa ziliniweka mahali kama karibia Lisaa hivi tairi zilikuwa zinazunguka tuu gari haitaki kwenda. Lakini mwishowe nikabonyeza kile kitufe cha PWR ECT aisee gari ilienda yenyewe kama ilikuwa imeingizwa fwd hivi. Kumbe hii pwr kwenye njia zetu hizi za tope kinasaidia.
 
Hivi engine ya mark x na brevis si sawa au zipo tofauti? Mana inasemekana zinasumbua sana hasa za brevis.
 
Hivi engine ya mark x na brevis si sawa au zipo tofauti? Mana inasemekana zinasumbua sana hasa za brevis.

Matatizo ya engine kusumbua mara nyingi ni matunzo hapa ni kilainishi oil au fundi amekuaribia kwa kushindwa kuelewa ugonjwa kwa wakati. Mafundi wetu wengi wataalamu kwenye magari ya zamani haya yenye umeme mwingi lazima usimamie ukiona kitu hakielewi muambie aache utafute anayeweza.
 
sisi tunaopendaga speed barabarani hatuangaliagi sana haya matumizi ya mafuta.kuna gari brevis nilikua natumia full take km 220.
 
sisi tunaopendaga speed barabarani hatuangaliagi sana haya matumizi ya mafuta.kuna gari brevis nilikua natumia full take km 220.

Hii ilikuwa na tatizo lita 70 ukupe 220km ni kama ilikuwa inavuja. Miye nikifanya Fujo kimjini hapa na mafoleni angalau km 400 naisogeza. Masafa marefu mpaka 500km ila ninaongezeaga inaweza enda zaidi
 
Back
Top Bottom