Toyota liteace gxl or townace

Toyota liteace gxl or townace

mec

Member
Joined
May 22, 2012
Posts
8
Reaction score
1
Hi guys
naomba ushauri me navipenda sana hivyo vigari toyota liteace or townace zile ndogo before noah, naomba ubora wake na madhaifu yake na kibongo bongo naweza kupata wapi na kwa kiasi gani.
thanks in advance
800px-Toyota_Liteace_Wagon_003.JPG
 
Hizo gari zishapitwa na wakati, jaribu kwenda na wakati mkuu endesha magari ya kisasa. Kubali mabadiliko mkuu.
 
Hizo gari zishapitwa na wakati, jaribu kwenda na wakati mkuu endesha magari ya kisasa. Kubali mabadiliko mkuu.

thanks man for response it means a lot,
nina pesa yangu ya pamba natamani kupata 4x4 yenye low consumption and enough space ya kutosha family na mizigo. naomba ushauri jamani
 
Back
Top Bottom