Gari aina ya toyota land cruizer vx inauzwa, iko katika hali nzuri sana, ni manual na inatumia disel..!!!
Haina udalali, gari ni ya kwangu. bei sh million 30, but inashuka kidogo
Kwa mawasiliano piga no 0715870080
Ahsante
Watu wengine wamezoea biashara za madawa ya kulevya, kila kitu ni siri siri tu. Anashindwa nini kuweka walao picha tu?utajisikiaje ukinunua gari bila kuiona?
30mlhiyo hapo wakubwa..!! jana ilinipa tabu kidogo ku-upload niwieni radhi..!!!
Engine ni 1HDT, imetembea kilometa laki 2 na kidogo.
The reason why im selling it is just because i dont need it in my day to day activites as it use to be..!!
For more information plz contact me through 0715870080,
thanx,
umeona thread hii ni ya mwaka gani?30ml
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]