Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,490
- 41,157
Toyota SA wametangaza leo LC 300 zilizonunuliwa kuanzia 16 January 2025 mpaka 18 January 2026 ambazo ziliuzwa karibu Cruiser 1846 zilirudi kwa ajili ya matengenezo baada ya kugundulika kuwa na changamoto kwenye 10 speed gear shift..
Wametoa angalizo kuendelea kutumia hilo gari bila kurudishwa kwa matengenezo zaidi ni gari kuungua moto ikiwa kwenye mwendo au engine kupasuka na kuwaka moto..
Angalizo hii ni kwa LC 300 zilizouzwa SA tu kwa kipindi hicho..