Toyota kluger(2001)vs rav4/escudo suzuki(2001)

Toyota kluger(2001)vs rav4/escudo suzuki(2001)

KAKAO

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
61
Reaction score
10
WAKUU HBR ZA JUMAPILI?NATUMAI KWA MSAADA WA MUNGUVBABA MU WAZIMA NA MNAENDELEA VEMA NA MAPUMZIKO YA WIKI ENDI.
NAMSHUKURU SAANA MUNGU KWA AJILI YENU PIA,
Msaada tafadhali nini tofauti halisi ya magari hapo Juu hasa kwa matumizi ya mara kwa mara Vijijini.
kwakuwa Toyota Kluger inanafasi kubwa(SPACEOUS)je haina shida hasa ikitumika vijijini??
Tafadhali Hekima zenu ni muhm saana ktk uchambuzi huu.
 
hapa nadhani majibu hayakupatikana!!. Wenye uzoefu na hizi Toyota Kluger mtujuze tafadhali.
 
Kama mfuko unaruhusu nakushauri uchague Kluger ni nzuri zaidi ya Rav 4.
Ila Ukichukua Kluger hakikisha inakuwa na Injini ya 2AZ ya Cc 2400 vvti hiyo ndio iko vizuri kwenye matumizi ya wese.
Kuna Kluger V6 cc3000 hizo ni majanga hakikisha hauchukui Kluger ya namna hiyo.Bodi zinafanana kila Kitu kasoro Injini kwa hiyo kuwa makini Kwenye uchaguzi.
 
Back
Top Bottom