mm nnayo kama mwezi wa 3 huu, service naona ya kawaida, japo kuwa cjapata tatizo kubwa, ulaji wa mafuta ni mzuri, buku 5 natembelea kutwa, pia iko very comfortable katika uendeshaji, you will love it, not to mention ina nafasi ya kutosha ndani.
wewe barubaru ist gani hiyo ina cc 1920? Ist ina cc 1290
nilitoka dar asubuh saa 11mwanza
nikafika saa2night
1.5=1500cc na1.3 = 1300swift ina 1.5 ambayo sawa na cc 1300 kama sikosei
Ni nzuri sana ukitaka kujua ulaji wake wa mafuta ni mzuri sana kwani ina CC 1920 na aina nyingine cc 1920 2nz.
Na zinapendwa sana na akina mama huku kwetu kwa ajili ya safari zao za hapa na pale. Sio mzuri kwa safari ndefu.
safari ndefu zip,!,,mi mwenyewe nimeitoa dar mpk mza 1200km,nilitoka dar asubuh saa 11mwanza nikafika saa2night
Ahsante mkuu.....Ipi safi zaidi 1NZ au 2Acha Urongo hakuna ist yenye engine kubwa ya cc 1920 hyo engine itakaaje hizo labda ni gx 100 zina 1G ambazo cc 1990, kama hujui nyamaza, ni 1290 cc au cc 1490 kuna 1NZ AU 2NZ
nadhani kuna 1ST zina mpaka engine za cc990, please be careful kuhusu mileage.....kwa gari ndogo kama hii ukitaka kuifurahia hakikisha ni less than 50,000km. fuel consumption inarange kuanzia 14km/l(speed 1-35km/Hr) hadi 18km/l kutegemeana upo town au njia ndefu (high way no traffic kwa speed ya 50-100km/Hr) ukiwa umewasha A/C ukitaka kuagiza nione mimi, nitakuchaji US$ 150 tu kwa kazi yote hadi unashika mkononi.