Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

Dimma

Member
Aug 15, 2017
99
133
Hizi beby walkers ni kavu mno wandugu.

Kuna namna yoyote (mechanically) ya kufanya ili kuboresha ride quality kwenye Toyota IST? Kwenye suspension system.

Hizi gari ni kavu mno kuendesha kwenye rough road. Their ride is too bumpy and too stiff!!!

Je, kuna suspension system ambayo ni softer & luxurious (non stiff) kwaajili ya hizi Toyota IST and the like? If yes, gharama yake ni kiasi gani?

Nasikiaga kuna 'springs za coil' sijuwi ndiyo zina mneso mkali, etc etc. Mimi sio mjuzi wa hizi mambo.

Nataka hii IST iwe na mneso kwenye bumps na rough road. Naombeni ushauri wenu wajuvi wa masuala haya.
 
Hizi beby walkers ni kavu mno wandugu.

Kuna namna yoyote (mechanically) ya kufanya ili kuboresha ride quality kwenye Toyota IST? Kwenye suspension system...

Kuna mtu nmemsahau jina humu JF alisema Ist and the likes zinadunda kama kitenesi ukiwa unaendesha nadhani ni Boeing 747 kama sijakosea.

Option rahisi ni kuhamia kwenye baby walker za mjerumani.
 
Hzo sio gari mkuu, ni vyombo tu vya usafiri. Ni vigari vinavyotaka lami tu, na ni kwaajili ya town trips tu za hapa na pale.

Nishaendesha Starlet, Vits, ist, na Raum. Vyooote ni vikavu mno kwenye ride. Utadhani unaendesha baiskeli ya mbao. Ukipita kwenye rasta bumps body lote linavibrate utafikiri umepigwa na tetemeko la ardhi.

Wanasema baby walkers za mjerumani zina suspension laini na ni gari haswa.
 
Hapo hapo japan Kuna Nissan kajitahidi kwenye Sedan zake nyingi eg. Fuga, Gloria, Cedric, President zote Zina nyonga nyorotii
 
Hizi gari zipo kwa ajili ya kuturahisishia usafiri from point A kwenda point B lakini taste ya gari kwa kweli hazina. Ukiendesha gari za mjerumani huwez tamani kuendesha tena haya matoyota basi tu umasikini wetu tu.
Sitaki kuamini kwamba gari zoooote za toyota zinadunda, labda kwa hiv vi baby walker, niliendesha gx 100 crester mbona ipo tofauti mbonaa japo sijajua kwa mjaman
 
Sedan za mjapani kidogo ziko poa Kwenye luxury Ila hizi baby walker ni mtihani kwelikweli hasa Kwenye rough road.....kuanzia siti zake IST ni ngumu kama ubao alafu miguu inakunja kama unakuna nazi

Hakuna namna yoyote (mechanically) ya ku-upgrade na kuweka mneso mzuri kwenye hizi gari ndogo kavu?
 
Kuna mtu nmemsahau jina humu JF alisema Ist and the likes zinadunda kama kitenesi ukiwa unaendesha nadhani ni Boeing 747 kama sijakosea.

Option rahisi ni kuhamia kwenye baby walker za mjerumani.

Umenivunja mbavu mkuu. Gari inadunda kama kitenesi!! Hahaha

Sasa mkuu, je kuna namna yoyote mechanically ya ku-upgrade suspension system ya hizi beby walkers za mjapan zikawa na mneso? Au labda kuna shock ups ambazo ni more luxury and softer ambazo naweza nunua na kureplace?
 
Hizi beby walkers ni kavu mno wandugu.

Kuna namna yoyote (mechanically) ya kufanya ili kuboresha ride quality kwenye Toyota IST? Kwenye suspension system.

Hizi gari ni kavu mno kuendesha kwenye rough road. Their ride is too bumpy and too stiff!!
Kuna sababu kubwa mbili,ufupi wa chases na wepesi wa gari.Gari ikisha kuwa fupi kama ilivyo IST swala la mneso kama unaoupata kwenye Crown ulisahau.

Pili hata kama utaweka spring au suspension yenye mneso utapunguza stability ya gari kwa kuwa ni nyepesi sana, unaweza kuweka hizo suspension kwenye gari kama VW au Volvo au baadhi ya gari za Europe ambazo ni fupi kama IST,na hizi zinakuwa na mneso kwakuwa ni nzito...
 
Back
Top Bottom