mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Hizo Evo/sti hazibadilishwi engine,engine zinakua tu moded/tuned i.e Fuel Rail Upgrade,Turbocharger Upgrade,Camshaft upgrade,Intake Manifold Upgrade,Fuel Pump Upgrade,Remap factory ECU etcGari inapotoka kiwandani, inakuwa na engine ya kiwandani. Lakini engine nyingine inaweza kuwekwa katika gari hiyo on the streets. Cha muhimu ni engine itoshe katika engine compartment, and in many cases compartments can handlr bigger engines. Kwa hio gari yenye 2000cc (4 cylinders) inaweza kuwekewa engine ya 3000cc (6 cylinders) au zaidi. In that case, itakuwa na power zaidi.







