East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,065
Hii kwi kwii.. kademu kanashobokaa akili zake tayari zilihamia kwa jamaa wa golf... kaliwish kangekuwa huko ...😀😀😀RRONDO hii kweli kichapo FC 😂😂😂 upo sahihi kumiliki Golf GTI! Huu udhalilishaji wa mchana kweupe 4GR imegota 180KPH ila mwenye 260KPH anaendelea kuchanja mbuga



