Roman Empire
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 620
- 1,423
Ipsum ukifika hiyo speed unasikia kwa nyuma Gari kama inapeperushwa na unapoteza umakin na unaweza sababisha ajali ya kupoteza direction au kuingia porin kabisaAiseee nimekoma kuna siku niko na ipsum yangu natokea mtwara nipo 145+ speed kwa kweli nimejifunza sahv max speed ni 100
Wazoefu wanasema zina effect kadhaa
1. Pedals zinaweza kunasa katikati ya mguu na sandal yako inakuchanganya uka loose control
2. Imethibitishwa kwamba force unayoapply kwenye brake ukiwa na sandal ni ndogo kwahyo gari linaweza kuchelewa kupunguza mwendo
3. Maneuvering ya miguu yako between pedals inakuwa slower ukiwa na sandals
Alipona ila gari haikufaa tena,na yeye amebakia na makovu ya maisha,nadhani pia alipata lesson kuwa Mungu hajaribiwi...Ilichomfanya hawezi kusahau?
Alipona kwani mkuu?
Hebu nioneshe gari ya mjerumani iliyopigwa ikagawanyika hivi...Mi Naona Hapa cha Kuzingatia Ni Umakikini tu, Hizi Ishu Sijui Mjerumani, Sijui Muingereza ni Story za Vijiweni tu, Huyo Mjapan Mwenyewe kummiliki Jasho la Meno linakutoka ( Hapa Sizungumzii wale Famila Bora na Waendesha Magari Ya Shemeji )
sawa na kujaribu kuzuia harufu ya ushuzi kwa kukalia godoro. Baada ya mda harufu itatoka tuBongo tatizo ni highways, nilishaandikaga sana humu. Shida ni njia finyu na mkidhani kudhibiti speed ndio suluhisho ni kwamba amsuluhishi ila ni sawa na kujaribu kuzuia harufu ya ushuzi kwa kukalia godoro. Baada ya mda harufu itatoka tu
Hawa madogo wanakimbiza haya magari mpk unashangaa.... Siku nakatiza zangu na speed yangu ya kizee... nikashangaa kaPasso kananipita kama nimesimama. Nikashangaa na kujiuliza hawa madogo huwa wanawaza nini na haya mambio???
Kuna yule jamaa wa Forex money industry alinunua X6 halafu na jamaa yake akanunua x3 sijui sasa kuna siku wanatoka iringa huko gari zikiwa mpya kabisa hata miezi sita hazijafikisha wako porini si wakafanya Formula 1 bwana .tatizo vijana wakishamilikia haya magari wanakua jeuri wanataka waonekane machampioni wa speed 120 kwenye kona shaaaaaa,mwisho USO kwa USO na roli la mchanga
R.I.P kijana dreva wa crown athlete
Zingekuwa toyota hizo ingekuwa muda huu wanaimba mapambio mbinguniKuna yule jamaa wa Forex money industry alinunua X6 halafu na jamaa yake akanunua x3 sijui sasa kuna siku wanatoka iringa huko gari zikiwa mpya kabisa hata miezi sita hazijafikisha wako porini si wakafanya Formula 1 bwana .
Mmoja akageuka Sebastian vettel mweingie akawa lewisj Hamilton mbio za langa langa halafu barabara zenyewe za Tanzania .
Kilichokuja tokea mwenye x 3 akajikuta hospital fuvu limepasuka na mguu una fracture mwenye X 6 ikibadi alitoka salama ila ikabidi akaiokote vipande vyake akaviunganishe kwa fundi swalehe mikoroshini hahahahahah
Vijana wakisha hela mapema tabu tupu
Hahahahah acha tu uncle vijana tuna tabu sanaZingekuwa toyota hizo ingekuwa muda huu wanaimba mapambio mbinguni
Dawa ni mnyama tu, hakuna namnaCrown iko balanced kuliko toyota nyingi za sedan. Naweza sema kuliko hata Mark X. Crown inafata tabia za Lexus kwa kiwango kikubwa tu. Kwahio stability sio shida ila jamaa inaonekana aliemgonga alivutia kwake. Tabia ya kishenzi ya watu ku overtake kwenye blindspot ama kukadiria gari linalokuja usoni ndio husababisha haya
Nakushauri tafuta gari za ulayaKila mtu ana starehe yake mkuu, fikiria kuna wanao ona kuwa na mademu ni starehe zao, kuna wanywaji wa pombe ni starehe zao....
Kwangu mim starehe yangu ni kuvunja speed meter... Kifo tumeumbiwa binadamu, gari nimeanza kuendesha nikiwa na miaka 7, na miaka 19 naendesha gari... Enjoy
Wanaita dege la chinii ahahahah ,inavuta kwa haraka sanaaIlitaka kututupa hiyo siku moja Entebe sina hamu na Ipsum
Unaitwa udereva kengeUdereva wa mitaani.... Hakuna hata nafasi ya kufundishwa kuhusu uchumi na athari za mwendokasi
Nasukuma hii kitu ,inahitajii umakin ,ila at least ubebe mzigo nyuma au watu kidogo la sivyoo Mbingu zitakufungukiaa na utapokelewa kwa shangwe kubwa.Ipsum ukifika hiyo speed unasikia kwa nyuma Gari kama inapeperushwa na unapoteza umakin na unaweza sababisha ajali ya kupoteza direction au kuingia porin kabisa
Yeah ,you have to maintain on a high way at least 100 to 120 not more than that.Ila stability ndogo sana hasa zikivuka 100
Daah!Alipona ila gari haikufaa tena,na yeye amebakia na makovu ya maisha,nadhani pia alipata lesson kuwa Mungu hajaribiwi...