Toyota harrier; Inaingiza gia yenyewe

Mawesee

Member
Dec 6, 2016
25
14
Mi nina harrier juzi kati imeanza kusumbua gia inaingiza gia yenyewe bila kukanyaga moto afu silence iko juu sana cjajua nifanyeje
 
mkuu hembu fafanua vizuri inaingia gear yenyewe kivipi yaani?? hiyo gari bila shaka ni automatic so ili gear iweze kuingia lazima ukanyage brake na kutembeza gia rever mpaka kwenye gia husika sasa hapo hivyo vitu vinafanyika bila ww kuvifanya??
 
Lege ni hv silenc iko juu sana na inaingiza gia bila kukanyaga moto namanisha ukiweka drive inatembea yenyewe
 
Mkuu ebu tulia uandike vizuri maana hujaeleweka kwakuwa kama gari iko tambalale ukiwa drive bila kukanyaga moto obviously itatembea japo siyo kwa speed
 
Lege ni hv silenc iko juu sana na inaingiza gia bila kukanyaga moto namanisha ukiweka drive inatembea yenyewe
Mkuu jieleze vizuri ili upate msaada au ushauri sahihi kulingana na hitaji lako.
Hizi gari za automatic ukiweka Drive ukatoa mguu kwenye breki inaanza kutembea taratibu bila hata kugusa pedel ya mafuta.
 
Mkuu kama gari iko high rpm ina maana ukiachia brek inaenda sasa cha msingi kapunguze silencer.
Automatic cars ukiachia breki inaondoka.mie nikajua gear lever inajipeleka kwenye Drive yenyewe hapo kqa hiyo yako sijaona tatizo.
 
Sawa but ukitoa mguu kwe brek inatembea na kujiongeza gia yenyew na kujibadil gia kadr inavokwenda na silenc iko juu sana
 
Mkuu kama gari iko high rpm ina maana ukiachia brek inaenda sasa cha msingi kapunguze silencer.
Automatic cars ukiachia breki inaondoka.mie nikajua gear lever inajipeleka kwenye Drive yenyewe hapo kqa hiyo yako sijaona tatizo.
OK...
 
Gari haiwez kuhama gia kama ujakanyaga accelerator walau rpm ipande 2 paka 3, hapo ni gari inaenda yenyewe kwa gia namba moja tu. Tatizo lililopo hapo ni kupunguza silence ya gari basi.
 
Mi nina harrier juzi kati imeanza kusumbua gia inaingiza gia yenyewe bila kukanyaga moto afu silence iko juu sana cjajua nifanyeje
That's why stick shift transmission remains as my favorite ride
 
Lege ni hv silenc iko juu sana na inaingiza gia bila kukanyaga moto namanisha ukiweka drive inatembea yenyewe
Kwani ukiweka d gari inatakiwa kufanya nini? Pitia masomo kidogo kuhusiana na udereva utajua. Hilo la kuhusu silence kuwa juu ni mambo ya kuangalia cable ya mafuta na kuirekebisha. Nenda kwa fundi atakusaidia
 
Back
Top Bottom