Msaada: Toyota Harrier model ya 2005 inakita kwa sauti (banging sound) nIkipita kwenye shimo bila kupunguza speed

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
757
500
Habari wadau, naomba ushauri..

Nina Toyota Harrier model ya 2005 inakita kwa sauti (banging sound) nIkipita kwenye shimo bila kupunguza speed. Yani hata kama si speed sana. Sauti inatokea sana kwa mbele.

Fundi amekagua akagundua shock absorber ziko weak na moja ilishaanza kuvuja. Vitu vingine vyote anasema viko sawa, yaani stabilizer link, stabilizer bushes, wishbone bushes.

Nimebadili shock absorbers lakini tatizo liko palepale.

Je, nicheki kifaa gani kingine?
 

humility21

JF-Expert Member
Jan 8, 2021
251
500
kwa uelewa wangu shock absorber hazileti sauti ya kugonga ila hasa stablizer link. Fundi bado hajagundua kugonga gonga ni kutokana na nini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom