Toyota Grand Mark 11 inauzwa

Toyota Grand Mark 11 inauzwa

biasharaTz

Senior Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
163
Reaction score
79
Hello JF members
I'm selling car with the following details
1. Make: Toyota
2. Model: Mark 11
3. Body type: Saloon
4: colour: Silver
5. YoM: 2002
6. Engine type: 1JZX
7. Engine cc: 2490
8. Fuel used: Petrol

Additional information
1. The car is having ECONOMY SENSOR and can be seen on the dashboard hence it is very economy in using fuel regardless of its engine capacity. It goes up to 12km/l

2. Motorvehicle licence has expired since March 2016, hence need to be renewed

3. Other documents are valid

4. General condition of the car is good

5. The car is available in Dar Es Salaam, but for those who are interested from upcountry we can discuss the deal

6. Price is Tsh 6.3mil negotiable

Contacts
Hotline/whatsapp: 0765363641/0659211222
Email: biasharaTz@outlook.com

Pictures
1460705731142.jpg
1460705761410.jpg
1460705795211.jpg
1460705837111.jpg
1460705860333.jpg
1460705882740.jpg
 
Hivi hizi gari ni six au four.
halafu kwanini zimeshuka bei ghafla
Maana muundo wake mzuri sana na ndani zipo comfortable sana
Hizi gari ni 6 cylinder. Kushuka bei kwa gari hizi kwa mtazamo wangu ni kutokana na kuwa chini katika matoleo ya gari hizi za saloon za muundo wake. Hii nikiwa na maana ya kwamba katika matoleo yao utaona kwa sasa ipo 1. Toyota crown (new model) 2. Mark x 3. Verossa then 4. Grand mark 11
Confortability, uimara, spea kupatikana kirahisi na bei nafuu yake bado ni nzuri sana
 
Hizi gari ni 6 cylinder. Kushuka bei kwa gari hizi kwa mtazamo wangu ni kutokana na kuwa chini katika matoleo ya gari hizi za saloon za muundo wake. Hii nikiwa na maana ya kwamba katika matoleo yao utaona kwa sasa ipo 1. Toyota crown (new model) 2. Mark x 3. Verossa then 4. Grand mark 11
Confortability, uimara, spea kupatikana kirahisi na bei nafuu yake bado ni nzuri sana
Asante mkuu kwa Mchango wako.
Ila mie naona hizi zipo vizuri sana kuliko hata Verossa
 
4d yes bad!!!! mfumo wake wa engine unasumbua pia cc2490 goes up to 12kml mmmmh ngumu kuamini..carina zenye cc below 1500 ndio zinaweza kwenda 12km/l.
Mkuu kwa mimi ninaeitumia kwa zaidi ya miaka miwili sijaona ubaya wake. Na injini hii ninaona ni nzuri na uwiano wake wa kutumia mafuta ni mzuri zaidi ya 1GX. Vile vile hii kumbuka ina kifungo cha Economy kama ya subaru kama umewahi endesha au kuwa na uzoefu na subaru utaamini hilo.
Lakini elimu ni bahari hebu naomba unielemishe ubaya/udhaifu wa enjini za 4D, usumbufu wake upo kivipi. Huenda mimi nazingatia service na naitumia gari vema ndiyo maana sijapata matatizo hayo kwa muda wangu wote naoitumia
Angalizo
Nina uzoefu mkubwa sana wa gx 110 injini ya 1GX kuliko hii ambayo nimepata bahati ya kuwa nayo miaka miwili ilhali nyinginezo ni zaidi ya miaka 6
Asante
 
Back
Top Bottom