Toyota fortuner vs ford range zikiwa offroad

mkuu mie fan saana wa offroad, kwa ufupi nimeangalia gari nyingi tofauti tofauti offroad, kusema ukweli fortuner offroad hamna kitu, kwa hizo mbili ford ranger hipo vizuri, nimeshaona fortuner hiki perform bado yani.
fortuner hata mbele ya Suzuki Jimny inakaa.
 
s
Acha kufananisha Ford Ranger na vitu vya kijinga aisee!

Ukiacha Toyota land cruiser mkonga, Toyota hana gari nyingine zaidi ya mbolea mbolea tu!
sure ume sema ukweli, ndo maana mzunguu akija africa gari yake sio saloon, ni cruiser mkonge, land cruiser amazon, yani zile cruiser zenywe diff ya mbele au tube housing, yani gari yoyote ukiona mbele ina kale ka bichwa ujue heshima asa fortuner ni luxury saana haikawi kuvunja drive shaft.
 
4321481758812163091
 
mkuu mie fan saana wa offroad, kwa ufupi nimeangalia gari nyingi tofauti tofauti offroad, kusema ukweli fortuner offroad hamna kitu, kwa hizo mbili ford ranger hipo vizuri, nimeshaona fortuner hiki perform bado yani.
fortuner hata mbele ya Suzuki Jimny inakaa.
Shule zimefungwa mara hii???
 
Back
Top Bottom