Kwanini ukibishana na Waislamu wanaleta maneno yenye tafsiri ya kiarabu?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,610
8,736
Ili suala linanipa shida sana hapa JF.

Zikiwa mada zenye mambo ya imani utashangaa wameandika kiarabu wakati mimi sielewi hiyo lugha.

Pili wanachonichosha unaweza kubishana au kukueleza mfano naweza kuleta mjadala kuhusu IST ya Toyota na imani ukashangaa wameingizia Aya na kiarabu juu wakati aviingiliani.

Mfano leo ukitafuta ukweli kuhusu Yesu alivyofika India utaelezwa kwa maelezo.

Ila ukitafuta maelezo kwanini Boko Haram au Al Qaeda wanafanya haya utaona maneno ya kiarabu muda si mfupi na Aya. Kwanini msieleze kuwa wale ni majangiri jibu tosha.

Tujirekebisha waislamu tukiwa Japan tujibu Kijapani, tukiwa Tanzania tujibu kitanzania.

Sio kueleza mambo ya Urusi unaniandikia Идиоты JF
 
Uislamu umejaa mila za kiaarab ndani yake.

Ndio maana waislamu wasio waarabu huwa wanaweka lugha ya ki arabu kwenye hoja zao maana wameambiwa ndio lugha watakayoongea siku ya hukumu ili waende peponi
 
Attachments

  • Screenshot_20230227-162726_Yahoo Mail.jpg
    Screenshot_20230227-162726_Yahoo Mail.jpg
    43.1 KB · Views: 3
Mkuu ?

Hivi unajua hata kwa wakristo ukimpa fact yoyote ambayo inapingana na yaliyoandikwa kwenye bible atataka ushahidi. nayeye atakuletea ushahidi kutoka kwenye bible.

Tuseme bible au mafundisho ya ndani yangekuwa yanatolewa kwa lugha ya kiebrania, uwenda hata wakristo nawao wangeanza kukuandikia kiebrania kama defence mechanism pale unapowapa chalenge.
 
Tuseme bible au mafundisho ya ndani yangekuwa yanatolewa kwa lugha ya kiebrania , uwenda hata wakristo nawao wangeanza kukuandikia kiebrania kama defence mechanism pale unapowapa chalenge .
Nafikiri Qur'an nayo imetafsiriwa.
 
Udhaifu wa mtu upo pale anapokimbilia mara ugomvi uzukapoo .... soma mara ya pili kisha ng'amuaa
 
Jamii forums, Siyo kubishana bali tunakashifiana, maana ya dini ni imani, Tunaamini Mungu yupo, ingawa hakuna aliemuona bali ni imani tu.

Hivyo, ukipinga imani ya mwenzio, wakati hiyo imani yako, huwezi thitisha kwa kuonesha, bali utatajataja maandishi tu, ambayo nayo mwenzio hayaamini.
Uislamu siyo Ukristo, na Ukristo siyo Uislamu, hivyo njia ya kuabudu haiwezi kuwa sawa.

Ila wakihoji wasio na Dini, angalau wana hoja, maana wao hawaamini Uwepo wa Mungu kabisa, vinginevyo tukubaliane Waislamu na Wakristo, tunakashifiana tu, maana tunajua Ukristo siyo Uislamu, Wala Uslamu siyo Ukristo.
 
Ili suala linanipa shida sana hapa JF. Zikiwa mada zenye mambo ya imani utashangaa wameandika kiarabu wakati mimi sielewi hiyo lugha.

Pili wanachonichosha unaweza kubishana au kukueleza mfano naweza kuleta mjadala kuhusu IST ya toyota na imani ukashangaa wameingizia Aya na kiarabu juu wakati aviingiliani.

Mfano leo ukitafuta ukweli kuhusu Yesu alivyofika India utaelezwa kwa maelezo.

Ila ukitafuta maelezo kwanini Boko Haram au Al Qaeda wanafanya haya utaona maneno ya kiarabu muda si mfupi na Aya. Kwanini msieleze kuwa wale ni majangiri jibu tosha.

Tujirekebisha waislamu tukiwa Japan tujibu Kijapani, tukiwa Tanzania tujibu kitanzania.

Sio kueleza mambo ya Urusi unaniandikia Идиоты JF
Wapuuzi na ulimbukeni ,kutwa kumwabudu mwarabu aliyewatumikisha Babu na Bibi zao
 
Ili suala linanipa shida sana hapa JF. Zikiwa mada zenye mambo ya imani utashangaa wameandika kiarabu wakati mimi sielewi hiyo lugha.

Pili wanachonichosha unaweza kubishana au kukueleza mfano naweza kuleta mjadala kuhusu IST ya toyota na imani ukashangaa wameingizia Aya na kiarabu juu wakati aviingiliani.

Mfano leo ukitafuta ukweli kuhusu Yesu alivyofika India utaelezwa kwa maelezo.

Ila ukitafuta maelezo kwanini Boko Haram au Al Qaeda wanafanya haya utaona maneno ya kiarabu muda si mfupi na Aya. Kwanini msieleze kuwa wale ni majangiri jibu tosha.

Tujirekebisha waislamu tukiwa Japan tujibu Kijapani, tukiwa Tanzania tujibu kitanzania.

Sio kueleza mambo ya Urusi unaniandikia Идиоты JF
Unazifahamu Hadith wewe. Mle zimetajwa hadi Lamborghini,Versace, Tommy Hillfiger, IPhone, apartment, Masaki, Oysterbay, Ferrari, Bugatti, private jet, Gulf Steam, Samsung yaani ma kila kitu hadi pisi kali
 
Uislamu umejaa mila za kiaarab ndani yake.

Ndio maana waislamu wasio waarabu huwa wanaweka lugha ya ki arabu kwenye hoja zao maana wameambiwa ndio lugha watakayoongea siku ya hukumu ili waende peponi
Ndio maana mm kila siku nawaambia hizo ni mila na tamaduni za waarabu lakin walivyo vichwa maji hawataki kuelewa
 
Ili suala linanipa shida sana hapa JF.

Zikiwa mada zenye mambo ya imani utashangaa wameandika kiarabu wakati mimi sielewi hiyo lugha.

Pili wanachonichosha unaweza kubishana au kukueleza mfano naweza kuleta mjadala kuhusu IST ya Toyota na imani ukashangaa wameingizia Aya na kiarabu juu wakati aviingiliani.

Mfano leo ukitafuta ukweli kuhusu Yesu alivyofika India utaelezwa kwa maelezo.

Ila ukitafuta maelezo kwanini Boko Haram au Al Qaeda wanafanya haya utaona maneno ya kiarabu muda si mfupi na Aya. Kwanini msieleze kuwa wale ni majangiri jibu tosha.

Tujirekebisha waislamu tukiwa Japan tujibu Kijapani, tukiwa Tanzania tujibu kitanzania.

Sio kueleza mambo ya Urusi unaniandikia Идиоты JF

Mkuu ?

Hivi unajua hata kwa wakristo ukimpa fact yoyote ambayo inapingana na yaliyoandikwa kwenye bible atataka ushahidi. nayeye atakuletea ushahidi kutoka kwenye bible.

Tuseme bible au mafundisho ya ndani yangekuwa yanatolewa kwa lugha ya kiebrania, uwenda hata wakristo nawao wangeanza kukuandikia kiebrania kama defence mechanism pale unapowapa chalenge.
Kwa kuongeza kuna rafiki yangu wa kikristo wakati tuko chuo alinambia

“Natamani na mimi tungefundishwa Biblia kilatini ili nasi tutambe kama waislam status ikifika ijumaa”
 
Jamii forums, Siyo kubishana bali tunakashifiana, maana ya dini ni imani, Tunaamini Mungu yupo, ingawa hakuna aliemuona bali ni imani tu.

Hivyo, ukipinga imani ya mwenzio, wakati hiyo imani yako, huwezi thitisha kwa kuonesha, bali utatajataja maandishi tu, ambayo nayo mwenzio hayaamini.
Uislamu siyo Ukristo, na Ukristo siyo Uislamu, hivyo njia ya kuabudu haiwezi kuwa sawa.

Ila wakihoji wasio na Dini, angalau wana hoja, maana wao hawaamini Uwepo wa Mungu kabisa, vinginevyo tukubaliane Waislamu na Wakristo, tunakashifiana tu, maana tunajua Ukristo siyo Uislamu, Wala Uslamu siyo Ukristo.
Kinachonishangaza Mimi ni kwamba,kwa nini mabishano ya dini Ni juu ya hizi dini mbili tu ukristo na uislamu wakati dini zipo nyingi tu hapa duniani? Hata hapa Tz Kuna dini ya ubudha,Tao,uyahudi na dini za asili. Sasa why kila siku iwe ukristo na uislamu tu?

Mimi sijawahi kuona mbudha ananishangaza na myahudi kuhusu dini. Kila mmoja anamind biashara yake.
 
Back
Top Bottom