Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,340
- 8,242
Khaaaa kwa anga au vp
Well noted for actionTunakumbushana tu kuwa Toyota crown Japan ni taxi tu. So tupunguze shobo na kuvimba bila sababu.
View attachment 2683473View attachment 2683474
Kabisa hii nimeishuhudia kwa macho yangu, achilia mbali benz, mtaani utakutana na VW, porsche wana wanapigia tax fresh, njoo bongo sasa 😂😂Ujeruman nao hivyo hivyo benz zinatumika pia kama taxi