Let me be the first one to comment.
hiii avatar n noma hainitoki kichwani.
wengine hatuna mkuujamii forum kila mtu ana gari?
tunamsubiriHabari za jumapili,
Jana nikiwa kwenye mishe mishe zangu barabarani ilinipita gari aina ya Toyota brevis kwa spidi kali sana. Kufika kwenye mataa nikamkuta amekaa upande wa kulia mie nikapita upande wa kushoto nikamuona dereva wa hiyo brevis. Alikuwa peke yale kwenye gari, mweusi si mwembamba na si mnene na wala hana kitambi. Alivaa shati lenye weusi weusi hivi na vioo vya mbele vilikuwa wazi. Nilimkagua hadi tuliporuhusiwa yeye akachomoka tena ila kufika mataa ya mbele tena nikamkuta.
Wakati huu alikuwa mkono wa kulia kashikilia usukano na mkono wa kushoto alikuwa kashika simu kana kwamba anachat.
Haa safari hii si kufanya ajizi, nikachukua kikaratasi nikaandika barua peke yangu na kufungua kioo changu nikamrushia kwenye siti ya abiria. Tukaruhusiwa basi nikakanyaga pedeli mbiooo asinikute. ...heheheheee basi tuu aibu za kike zilinijia.
Thanks Jo, asubuhi hii nimepata email yako. Nice to meet you.
Maswali yote utayouliza atakuja kuyajibu Jo mwenyewe.
Kasie.
hahahahDuuh, Dereva agonga miti aaacha, hiyo si sawa dereva una mkeooooo (Kwa sauti ya Weusiii)
Mi sina saa moja tukutane kituo cha Sinza Kumekuchajamii forum kila mtu ana gari?
Hahaha aseeeHabari za jumapili,
Jana nikiwa kwenye mishe mishe zangu barabarani ilinipita gari aina ya Toyota brevis kwa spidi kali sana. Kufika kwenye mataa nikamkuta amekaa upande wa kulia mie nikapita upande wa kushoto nikamuona dereva wa hiyo brevis. Alikuwa peke yale kwenye gari, mweusi si mwembamba na si mnene na wala hana kitambi. Alivaa shati lenye weusi weusi hivi na vioo vya mbele vilikuwa wazi. Nilimkagua hadi tuliporuhusiwa yeye akachomoka tena ila kufika mataa ya mbele tena nikamkuta.
Wakati huu alikuwa mkono wa kulia kashikilia usukano na mkono wa kushoto alikuwa kashika simu kana kwamba anachat.
Haa safari hii si kufanya ajizi, nikachukua kikaratasi nikaandika barua peke yangu na kufungua kioo changu nikamrushia kwenye siti ya abiria. Tukaruhusiwa basi nikakanyaga pedeli mbiooo asinikute. ...heheheheee basi tuu aibu za kike zilinijia.
Thanks Jo, asubuhi hii nimepata email yako. Nice to meet you.
Maswali yote utayouliza atakuja kuyajibu Jo mwenyewe.
Kasie.
Duuh hadi gari uliachiwa asee. Mganga wako mzuri 😄na brevis yake