Una afya kwa dalali asiye na uelewa, anaweza kujifunza mawili matatu ya branding kwenye dunia ya biashara. TOYOTA hawajasema gari yao imefungwa engine ya kampuni ya piki piki, huyu yeye anadhani YAMAHA ni selling point kwa gari ya TOYOTA. Mbona wenyewe wawili TOYOTA na YAMAHA hawakusema?niseme tu kwamba ubishi unaouleta hauna afya. Haujengi
Ameitoa wapi hiyo taarifa? Amejuaje engine ya Alteza ni ya YAMAHA ?
