Over the hedge
Senior Member
- Sep 6, 2019
- 143
- 162
🤣🤣🤣🤣 Nicolas cage face off bonge movieMkuu asante kwa kunifumbua macho..kutishiwa maisha sio kitu cha mchezo! Kuna habari ya muuza chips nimeisikia kwenye vyombo vya habar..ngoja nichukue hatua!
🤣🤣🤣🤣 Nicolas cage face off bonge movieMkuu asante kwa kunifumbua macho..kutishiwa maisha sio kitu cha mchezo! Kuna habari ya muuza chips nimeisikia kwenye vyombo vya habar..ngoja nichukue hatua!
Nimeiona hiyo habari,jamaa amekutwa kaning'nia kwenye eneo lake la chips Kijitonyama.Mambo ya kutishiana maisha siyo mazuri aise.uchukue na mawasiliano yake.Mkuu asante kwa kunifumbua macho..kutishiwa maisha sio kitu cha mchezo! Kuna habari ya muuza chips nimeisikia kwenye vyombo vya habar..ngoja nichukue hatua!
Yapo kwenye uzi wake humu!Nimeiona hiyo habari,jamaa amekutwa kaning'nia kwenye eneo lake la chips Kijitonyama.Mambo ya kutishiana maisha siyo mazuri aise.uchukue na mawasiliano yake.
Ipo juu kuleYapo kwenye uzi wake humu!
Ipo juu kule
Mbona hueleweki nico? Mara unaogopa kutishiwa mara upo fiti mtanange uendeleeInabidi tuheshimu mtazamo wako pia! Mimi nipo fiti mtanange uendelee!! Ila msije kulia lia apa na kutia huruma.
Hata mm nimechukua mawasiliano yake maana yeye ndio alianza kunitishiaNimeiona hiyo habari,jamaa amekutwa kaning'nia kwenye eneo lake la chips Kijitonyama.Mambo ya kutishiana maisha siyo mazuri aise.uchukue na mawasiliano yake.
Kila la kheri boss ila kuwa makini usije wew kulialia.Inabidi tuheshimu mtazamo wako pia! Mimi nipo fiti mtanange uendelee!! Ila msije kulia lia apa na kutia huruma.
Muache andelee nimpige tena spana zengineKila la kheri boss ila kuwa makini usije wew kulialia.



Msipende kutishana siyo jambo zuri,Au nasema uongo ndugu zangu!Hata mm nimechukua mawasiliano yake maana yeye ndio alianza kunitishia
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ni kweli kaka upo sahihi, ila alikera sn alivyonambia atanitatua marinda kiukweli hii kauli ilinikera sn ndio nikataka nimjue huyu ni nani ananitukana tusi kubwa kama hili kumchek ni dogo tu ila hana adabuMsipende kutishana siyo jambo zuri,Au nasema uongo ndugu zangu!
Pole Sana chief,usijali Sana wengine wanatumia maneno tu bila kuyatafakari.Msamehe tu yaishe maana dunia ya Leo iko complex Sana.Forgive and forget brother .Ni kweli kaka upo sahihi, ila alikera sn alivyonambia atanitatua marinda kiukweli hii kauli ilinikera sn ndio nikataka nimjue huyu ni nani ananitukana tusi kubwa kama hili kumchek ni dogo tu ila hana adabu
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mm sina shida naePole Sana chief,usijali Sana wengine wanatumia maneno tu bila kuyatafakari.Msamehe tu yaishe maana dunia ya Leo iko complex Sana.Forgive and forget brother .
Poa kiongozi.
Ni kweli kaka upo sahihi, ila alikera sn alivyonambia atanitatua marinda kiukweli hii kauli ilinikera sn ndio nikataka nimjue huyu ni nani ananitukana tusi kubwa kama hili kumchek ni dogo tu ila hana adabu
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mm siwezi kujibizana na ww, nikiongea unasema nakutishia sijui maisha yako yapo hatarini, nakupongeza sn endelea kutukanaNingekutatua kweli,mshukuru Mungu wako ushatatuliwa! Kama hawakukutarua vzur jibu tena!!
Mm siwezi kujibizana na ww, nikiongea unasema nakutishia sijui maisha yako yapo hatarini, nakupongeza sn endelea kutukana
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Endelea tu kujifurahisha, sasa hv sikutishii nakaa kimya kuna watu wamenishauri vzr sn ila nikibadili mawazo utaanza kulia lia humuSema ukwel..una marinda?
Izo picha sio zangu.endelea kumzalilisha mwamba..utapata ujira wakoEndelea tu kujifurahisha, sasa hv sikutishii nakaa kimya kuna watu wamenishauri vzr sn ila nikibadili mawazo utaanza kulia lia humuView attachment 1665097
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa anayejiita dalali Jugo kadhamiria kunidhuru,kaweka namba zangu na picha zangu hapa,mpaka sasa nimepokea sim 5 za vitisho na matusi.Ukifatilia conversation yeye ndo kaanza kuniita mimi mpumbavu,nami nikampa haki yake..iweje yy akimbilie kupost mawasiliano yangu pamoja na picha zangu humu? Bila ridhaa yangu?! Angefanyiwa yy angeridhika?!Yote kwa yote yeye anamaguvu na kwel ameahidi kunifanyia kitu kibaya..mpaka sasa usalama wangu upo mikononi mwake,endapo nitadhurika atakua anahusika asilimia zote.





nicolas unanichekesha sn, ww ni muoga sn nadhani sasa umelewa ila ngoja pombe zikuishe ndio utajua hujui