Toyota altezza inauzwa

Toyota altezza inauzwa

Humu jamii forum bwana,watu wajuaji kweli kweli,kumbe kuna watu wanawajua in and out.. Kuna dada mmoja pia watu walimpiga spana humu ndani,wakaweka hadi picha zake,sijui alikula mshiko wa jamaa!! Yaani that day ndiyo nilijua kumbe dunia haina huruma!
Hapa amna cha kujua mzee mambo hadharani, hapo ndio utakumbuka ule wimbo wa bukuku wa dunia haina huruma 😅😅😅
 
Humu jamii forum bwana,watu wajuaji kweli kweli,kumbe kuna watu wanawajua in and out.. Kuna dada mmoja pia watu walimpiga spana humu ndani,wakaweka hadi picha zake,sijui alikula mshiko wa jamaa!! Yaani that day ndiyo nilijua kumbe dunia haina huruma!
Mm bwana siku zote kama mtu namjua wala simuogopi, kwanza najua ananijua na yeye namjua kwahiyo hawezi kunifanya kitu sababu ya kujuana na aibu, ndomana unaweza kukuta unandugu yako polisi au mwanajeshi wala humuogopi mnaweza kugombana na kutukanana na asikufanye kitu chochote zaidi ataomba kikao cha kifamilia cha kuwasuluhisha
Ila kama mtu mtu simjui namuogopa sn na kumuheshimu siku zote nawaheshimu sn watu wasionijua, ndomana dogo alivyonitukana kabla sijaongea baya lolote haraka sn nikaingia chimbo nimjue kwanza, lkn yeye mtu hamjui anakimbilia kutukana hv huyu mtoto wa kunambia mm atanitatua marinda kweli?
 
Wenzako wanakupumulia kisogoni!
Hahahaha, dogo hizo picha zako zilizoibuliwa humu na ndugu Dalali zinasadifu wewe ni kiumbe wa namna gani. Hizi shule za bweni zimeharibu sana vijana wengi mno, pole sana kwa wazazi wako aisee.
 
Hahahaha, dogo hizo picha zako zilizoibuliwa humu na ndugu Dalali zinasadifu wewe ni kiumbe wa namna gani. Hizi shule za bweni zimeharibu sana vijana wengi mno, pole sana kwa wazazi wako aisee.
Mkuu naomba namba ya yule dada ako! Au saiv kaolewa?
 
Naitizama sura ya huyu kijana kwakweli bado kinda msamehe aisee ni utoto tu tatizo lake kubwa naona kakaaaa katafakari sijui akapata kina wamemshauri akane picha na namba zake

hahahaaa kaja hapa mbio kutuaminisha sio yeye kumbe watu wamesha quote alipo kiri namba zake na picha yake naona karudi tena uvunguni sijui atakujaje tena ngoja tumsubirie.

Yaan hii kwangu naona kama comed inanifurahisha kwakweli naendelea kufuatilia kisa hiki kwa ukaribu kabisa na umakini mkubwa
Ha ha ha ha haaa! hakika hiki ni kituko! huu uzi umetia fora kati ya nyuzi nyingi za wauza magari, na kupitia uzi huu madogo wa humu wajifunze na waache ujinga kabisa. Na ha haa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom