dalali jugo
Senior Member
- Dec 18, 2020
- 112
- 182
- Thread starter
- #101
Nimeshangaa sn sikutaka malumbano nae tu, dogo mwenyewe anapost namba zake kila mahaliwewe bwana mdogo wacha kutishia watu, unataka kuaminisha watu kwamba namba za huyo dogo watu hawazifahamu? na watu wamdhuru kwa lipi labda, acha mambo yako wewe

