Bonobo
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 364
- 670
Izo picha sio zangu.endelea kumzalilisha mwamba..utapata ujira wako
Ebhu toa kauli inayoeleweka, umeamua kukana sura yako au huyo sio wewe?




Izo picha sio zangu.endelea kumzalilisha mwamba..utapata ujira wako






huyu jamaa ni wakumsamehe bureJamaa mj*nga sana huyo 😅😅 yaaani utoto utakuwa unamsumbua
MythKitu ambacho hajajua faida ya hii engine ni 4 cylinder inamaana ulaji wake wa mafuta ni mzuri
Mkuu hebu tuonyeshe na huyu Kwameh tumjue kama yule dogoMkuu achana nae huyu jamaa unajichosha bure mm nishaacha kumjibu







Potezea mkuu na maisha yaendelee, this is new year, naamini wewe na mwana munaweza mukaja kuwa marafiki wa kubwa sna kupitia hii challenge.
Nampotezea tu ila urafiki sidhani, mm sinaga unafki ana kauli chafu sn huyu jamaa mm nimepost tangazo langu nashangaa anaanza kunitukana bila sababu nikajua anafanya hivyo sababu humu tunatumia fake id nikamuonyesha kuwa licha ya fake id bado ninauwezo wa kumjua ndomana nikatuma hadi picha zakePotezea mkuu na maisha yaendelee, this is new year, naamini wewe na mwana munaweza mukaja kuwa marafiki wa kubwa sna kupitia hii challenge.
Washanichek na tushafanya biashara, kilichobaki ni porojo na matusi ya nicolas T mwenyewe anajiita sparkKuna jamaa yangu alitaka apost gari yake humu anaiuza nikamshauri aache maana humu kuna madogo hawana adabu watamuharibia biashara bure,watu wanataka likes tu,wapuuzi sana..na wengi wanaokejeli sio wanunuzi,kwahyo mkuu relax wenye nia watakucheki



Hahahaaaaa kumbe waoga ee, mnapoongea humu kwa kujimwambafai huwa mnafikiri nini?tena maneno ya shombo na matusi mazito tena kwa kujiamini kabisaMkuu asante kwa kunifumbua macho..kutishiwa maisha sio kitu cha mchezo! Kuna habari ya muuza chips nimeisikia kwenye vyombo vya habar..ngoja nichukue hatua!
Hahahaaaaa kumbe waoga ee, mnapoongea humu kwa kujimwambafai huwa mnafikiri nini?tena maneno ya shombo na matusi mazito tena kwa kujiamini kabisa



asipate uoga atulie dawa imuingie ukiwapiga spana kdg waoga hao, dogo kaogopa akashauriwa akaripoti polisi, asipate tabu aseme kituo gani nimkute hapo tusimezane vzrNaitizama sura ya huyu kijana kwakweli bado kinda msamehe aisee ni utoto tu tatizo lake kubwa naona kakaaaa katafakari sijui akapata kina wamemshauri akane picha na namba zakeasipate uoga atulie dawa imuingie ukiwapiga spana kdg waoga hao, dogo kaogopa akashauriwa akaripoti polisi, asipate tabu aseme kituo gani nimkute hapo tusimezane vzr
Wala wasinitafute mm nipo nimejaa tele, aseme tu tukutane kituo gani nitafika kabla yake ila isiwe mkoani hukoUende ukatoe taarifa polisi ili wamtafute haraka Sana.


mie nipo darNishaachana nae muda sn hapa ni kama tunaongea ongea tu, akirudi tena nitampiga tofali moja matata sn hatoingia jf hata mwezi mzima akirudi aje vzrdalali jugo Asee huyu dogo sijui alikula maharage ya wapi aseee maana ana tumbo la kuhara kila saa.
achana naye fanya kazi mkuu, iyo chuma iko mwake sana mkuu, utapata mteja sio muda hapo kitaa. Kitu bado piruuu.
Fanya kazi mkuu maana mungu wetu halali wala haendi likizo.Nishaachana nae muda sn hapa ni kama tunaongea ongea tu, akirudi tena nitampiga tofali moja matata sn hatoingia jf hata mwezi mzima akirudi aje vzr