Over the hedge
Senior Member
- Sep 6, 2019
- 143
- 162
Aache utani na biashara za watu sasa hivi kakaa kimya 😂😂Kamekimbia hakiongei tena jeuri, nakapigia simu hakapokei
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Aache utani na biashara za watu sasa hivi kakaa kimya 😂😂Kamekimbia hakiongei tena jeuri, nakapigia simu hakapokei
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Aliyeharibu biashara ni yeye mwenyewe kwa kusema ALTEZA ina engine ya YAMAHASamahani mkuu ila wewe ni fala uliyekuja haribu biashara ya watu.
Wee jamaa huelewi kitu ebu tulia nimekostia picha kibao za hiyo engine ya yamaha bado huelewi unaendekeza ubishiAliyeharibu biashara ni yeye mwenyewe kwa kusema ALTEZA ina engine ya YAMAHA
Ndo maana nasema madalali waende shule.
Unawezaje kudhani kwamba engine ya PIKI PIKI itakuwa selling point, itakuwa na mvuto wa biashara mkubwa zaidi kwenye gari ya TOYOTA ???????
TOYOTA hapa duniani ni jina kubwa kuliko YAMAHA !!!!
Hapo umefanya kosa kubwa sana katika maisha yako. Kumbuka una namba zako humu, hivyo ni tayari unajulikana.0753041841 hii si ndio namba yako? Nitakutafuta we endelea kutakana
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nyie wenzetu mna tatizo la akili? Ni nani alikuambia yamaha wana engine za pikipiki tu?? Mbona hamshangai engine za Boxer kwenye subaru?? Au mbona hamshangai BMW kuwa na engine za gari na pikipiki?Aliyeharibu biashara ni yeye mwenyewe kwa kusema ALTEZA ina engine ya YAMAHA
Ndo maana nasema madalali waende shule.
Unawezaje kudhani kwamba engine ya PIKI PIKI itakuwa selling point, itakuwa na mvuto wa biashara mkubwa zaidi kuliko TOYOTA ???????
TOYOTA hapa duniani ni jina kubwa kuliko YAMAHA !!!!
Kwa condition ya gari hiyo 6.5 ni fair price. Wengine hapo wangeanza hadi kwa 8Gari toyota altezza inauzwa mil 6.5
Engine yamaha vvti, 4 cylinder, cc 1980, full music, full AcView attachment 1662040View attachment 1662041View attachment 1662042View attachment 1662043View attachment 1662044View attachment 1662045View attachment 1662046View attachment 1662047
Ongelea na vitisho vyake na matusi yakeHapo umefanya kosa kubwa sana katika maisha yako. Kumbuka una namba zako humu, hivyo ni tayari unajulikana.
Ikatokea kwa bahati mbaya huyo jamaa akadhurika na mtu mwingine au tu ikatokea kakutana na vibaka wakataka kumpora simu akagoma wakaamua kumuua, jua wewe ndio utaenda kujibu kwa kuwa itaonekana wewe ndio uliepanga hilo tukio.
Kuna makosa madogo sana huwa yanaenda kugharimu maisha ya watu.
Ukishaweka mawasiliano yako kwenye social media, basi kaa mbali kabisa na vitisho kwa watu. Na kama kuna comment itakukera basi achana nayo, we endelea na kazi zako.
Nimekushauri hayo kwa kuwa kuna watu wengi hivi vitu vya kutishia vimewagharimu
Ongelea na hili, ni kosa dogo au kubwa?Ntakutatua marinda,endelea kushobokea wanaume shoga ww!
Huyo nilishamuona hana akili.Ongelea na vitisho vyake na matusi yake
Huyo achana nae, huyo hata apate janga siwezi kushtuka. Majibu yake tu yanaonyesha hana cha kupotezaOngelea na hili, ni kosa dogo au kubwa?
Muuzie ww mkuu kama unayo, wala haina haja ya malumbano
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mwambie unataka ya udalali.ova
Kifupi sio mstaarabu huyu jamaaEndelea kudalalia magari ya wanaume wenzako!
Hadi sasa sielewi kilichomkasirisha hadi anitukane, ila nimeamua kumpotezea ni dogo tu wala sina shida nae nishajua akili zake zilivyo ni wakumpotezea tu nilitaka awe msataarabu tu asitukane watu kisa anatumia id fakeHuyo achana nae, huyo hata apate janga siwezi kushtuka. Majibu yake tu yanaonyesha hana cha kupoteza
Aliyeharibu biashara ni yeye mwenyewe kwa kusema ALTEZA ina engine ya YAMAHA
Ndo maana nasema madalali waende shule.
Unawezaje kudhani kwamba engine ya PIKI PIKI itakuwa selling point, itakuwa na mvuto wa biashara mkubwa zaidi kuliko TOYOTA ???????
TOYOTA hapa duniani ni jina kubwa kuliko YAMAHA !!!!
Nyie wenzetu mna tatizo la akili? Ni nani alikuambia yamaha wana engine za pikipiki tu?? Mbona hamshangai engine za Boxer kwenye subaru??
Hahah hii dunia ina mengi aisee,so unachobisha ni kwamba hio engine ya altezza haijatengenezwa na Yamaha sio?Engine ya Boxer, piki piki ya Mchina itumike kwenye Subaru ya Mjapan?
Are you a crackhead ?
Dunia imefika wapi siku hizi mnataka kutuuzia magari mmefanyia modifiation kwa kufunga engine za piki piki ?
Mbuzi kwenye gunia!
View attachment 1663415
NIONYESHE picha ya hiyo engine imeandikwa YAMAHAHahah hii dunia ina mengi aisee,so unachobisha ni kwamba hio engine ya altezza haijatengenezwa na Yamaha sio?
Hahah hakika.NIONYESHE picha ya hiyo engine imeandikwa YAMAHA
Eti SUBARU ina engine ya BOXER
Mjepu afunge engine ya boda boda ya Mdosi ???
Hii hapaNIONYESHE picha ya hiyo engine imeandikwa YAMAHA
Eti SUBARU ina engine ya BOXER
Mjepu afunge engine ya boda boda ya Mdosi ???
wewe bwana mdogo wacha kutishia watu, unataka kuaminisha watu kwamba namba za huyo dogo watu hawazifahamu? na watu wamdhuru kwa lipi labda, acha mambo yako weweHapo umefanya kosa kubwa sana katika maisha yako. Kumbuka una namba zako humu, hivyo ni tayari unajulikana.