Toyota Altezza Gita mpya bei cheeee

Toyota Altezza Gita mpya bei cheeee

Kizazi jeuri

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Posts
297
Reaction score
64
Nauza Toyota Altezza Gita milion 12 namba CLL rangi ya silver ina week toka itoke bandarini, na pia ina mziki wa thamani ya milion moja Unaplay DVD... Call 065314

Stanley, Dar es salaam
 
CC ngapi mkuu + odometer yake inasomekaje!
 
anauza gari kama mapazia ya kariakoo,weka details tukuelewe ikiwezekana na picha
 
Milioni 12 kwa gari kama hiyo?Ach masihara dogo, 12M si afadhali ninunue Rav 4 old model gari ambayo ni ya uhakika zaidi?
 
Milioni 12 kwa gari kama hiyo?Ach masihara dogo, 12M si afadhali ninunue Rav 4 old model gari ambayo ni ya uhakika zaidi?

Sawa mkuu but Rav4 ni chaguo lako na chaguo
La wengine vitz kila Mtu anachaguo lake... So ni poa
Mia Mia kaka mkuuu.
 
Back
Top Bottom