becknature
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 701
- 890
Ig fe fuel consumption kwa mjini, highway inaendaje?umeona eeeh, najaribu kuwaza nkiiuza nanunua gari gani yenye low fuel consumption , sitaki vitoto vya gari aisee
Ig fe fuel consumption kwa mjini, highway inaendaje?umeona eeeh, najaribu kuwaza nkiiuza nanunua gari gani yenye low fuel consumption , sitaki vitoto vya gari aisee
1jz na 2jz sokoni ni shilingi ngapi kwa sasa?1JZ 2JZ ni kiboko aise. Watu wengi wanaziogopa kwa cc zake, ila kama unampango wa kukaa na gari muda mrefu na kulifurahia, JZ engine ni nzuri saana.
Hizo ndio zipo kwenye Brevis, baadhi ya Verossa na Progres. zinaanzia cc 2500 mpaka 35001JZ 2JZ ni kiboko aise. Watu wengi wanaziogopa kwa cc zake, ila kama unampango wa kukaa na gari muda mrefu na kulifurahia, JZ engine ni nzuri saana.
YesHizo ndio zipo kwenye Brevis, baadhi ya Verossa na Progres. zinaanzia cc 2500 mpaka 3500
Kwnn,, maana ndo nayotumia vp Wewe inakupa mileage kiasi gani kwa litreMimi ninayo cresta 1g FE( kavu) huu ni mwaka wa 10 ina 198000km haijawahi kufunguliwa engine, hata hiyo timing cover haijawahi funguliwa, cha ajabu hata plug sijawahi badilisha,hata AC sijawahi ongeza,kipupwe bado kama nipo Mufindi,hata belts zote kwenye pulleys sijawahi badilisha, mpaka hii engine naishangaa, ndio gari ninayoitegemea kwa safari zangu za ghafla kokote Tanzania, haijawahi kuniangusha, haijawahi kunilaza njiani, mimi ni kuamua tu nikalale wapi, nikitoka dar, ni kuamua tu nikalale wapi, kahama au nitoboe mpaka Bukoba, Hii injini ni ngumu sana, ila natumia ,oil ya castrol 5w-30 toka nimenunua gari Yokohama Japan mwaka 2008, pia natumia CAT coolant ya General Motors.
ONYO* usiweke maji ya bomba au ya kisima kwenye rejeta ya gari yako,
Kwani inajuaje ni timing belt imeisha Hadi iwashe check engine light1G-FE VVTi 6 cylinder/piston ni engine nzuri sanaaa, but majuzi timing belt ilinikatikia mitaa ya majumba sita, ikapindisha valave zoote ishirini na nne kwenda kkoo naambiwa valve moja ni Tsh elf 45 mwisho wa bei ni Tsh 38 elf. Ila najilaumu mwenyewe kwakuwa check engine iliwaka sikugundua, wanashauri ukifikia km 100,000 hata kama check engine haijawaka ni bora kubadirisha Timing belt.
Kwanza Gari huwa linazimazima bila sababu hasa ukikanyaga E/P ukiwasha linawaka na hamna sign yoyote ile, utaendaaaaa then gari linakuwa na miss/ Nguvu hupugua then sign kwenye display/dash board hutokea, kunakialama/symbol/picha yenye mfano wa engine itatokea/ zingine huandika neno 'check engine'. Hapo sasa siku zako zinahesabikaa mimi nime experience kwenye Gari yangu Lexus IS200.
Majichumvi yanaozesha vyuma.Kwani inajuaje ni timing belt imeisha Hadi iwashe check engine light