Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
- Thread starter
- #21
Sipendi na nachukizwa nalo ndo maana nimelibwaga hapa. Naelewa jinsia yetu ya kike ilivyo. Dealing na jinsia ya kiume na kuwasema kuwa wanachokifanya sicho na wakiacha na kukataaYes, nakubaliana na wewe...!
Ila ipo haja ya wewe ku feel sorry na hao ladies wenye pesa zao.
Hujisikiii vibaya kuona wakina mama au dada ka hao wakiwatumia vijana? Hebu fikiri kama anayetumia hivyo ni kajana wako wa karibu...
kutumwa na Boss Ladies basi kazi za hivyo zitaisha maana watakosa wa kuwatuma. Wanaume kataeni kutumiwa kwa kazi za kikuwadi that's lowering you down even your D..k looks low