Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,050
- 40,019
Hayaa kumekucha. .....
Wacha niende straight..
Wananishangaza wanaume bin wavulana wanaotumiwa na Town Boss Ladies kisa pesa khaaaa aibu yenu kwakweli.
Hivi mwanaume mzima na mandeke yako na mazivu yako unatumwa na Town Boss Lady kumfatilia mdada flani kisha have a date with her halafu na Boss Lady nae anaenda eneo husika kuangalia movement kisha baada ya hiyo date hata kama ulijikuta umefall kwa huyo mdada utatimuliwa na kuambiwa kazi yako imeisha sepaa .... Chapa lapaa.... move your ass and never turn back...Hivi kwelii mbona wanaume mnajishusha hadi hivyoo
NOTE: Si wanaume wote najua umejiandaa kujibu vibaya. Kama wewe mwanaume ulitumiwa hivo na Boss Lady on 2015 pole na shame on you. 2016 jipange bora upige hata zege kuliko kutumwa hivyo. Ila kama wewe huku fanya hivo then comment..
A REAL MAN DON'T WORK FOR BOSS LADIES.
Kasie.

Last edited by a moderator: