Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 8,247
- 12,765
Kibongo bongo 255=zeroAcha porojo za kike, yani boss lady anazisikia habari za chiku afu amtafute mtu mwingine???!! Kwani huyo aliempa taarifa za chiku hawezi kupata taarifa zingine?! Nafikiri perio.. yako inakaribia.
Pole sana unaonekana uko menopause cubic umemzidi ajuza Kasie uzee. Hata hivyo umepotea sana usijali ujumbe umewafikia walengwa. Wameshaniambia msg delivered.Huu ni ugonjwa mpya?
Kwa hiyo the so called boss whatsoeverakishaona kijana anaongea na chiku anafaidikaje?
Nazeeka kwa kweli.
baada ya kufuatilia mada za huyu mama Kasinde kitambo sasa leo nimeamini anaweza kuwa na premenopausal symptoms.
Miaka kama 4 iliyopita huyu bi shosht alifyatukia na kuniita mhuni kwa tatizo dogo tu yaani katika maelezo yangu nilikosea saa yaani niliandika saa za kizungu badala ya kiswahili!
Washuhulikieni hao wasiwaharibie mkaonekana wote mmechina maana hakuna namna ingine ya kuwatofautisha na suruali za ukweli. Si wajua samaki mmoja akioza. ..... hakuna namna .....Ni makosa makubwa sana kudhani kuwa kila anayevaa suruali na mwemye utitiri wa ndevu ni mwanamume.....
Washuhulikieni hao wasiwaharibie mkaonekana wote mmechina maana hakuna namna ingine ya kuwatofautisha na suruali za ukweli. Si wajua samaki mmoja akioza. ..... hakuna namna .....
DoooohWanaume wamebaki wachacheeeeeeee, wengi wavaa suruali tu.
Ni ngumu kuwashughulikia kwa kuwa kila mmoja anaishi katika ulimwengu wake.....na kila mmoja anajishuhulisha kwa namna anavyojua yeye.....
Lakini si vyema kasoro ya mtu mmoja kuijumlisha kuwa ya wote...