Tulia nacte wanakupikia chakula mpaka tare 14 kitakuwa kimeiva kijana wangu ucwe na papalaNaona website haifunguki kwenye widow application on line? Kuna nini? Tujuzane
Nimejaribu mara kibao hata mimi ila acha wataweka mambo sawa tarehe 14Ukitaka kufanyaje?