Kwa jinsi ulivyom diss kiba na haya uliyoyaandika nimepata jibu.
Kwa jinsi ulivyom diss kiba na haya uliyoyaandika nimepata jibu.
Mimi Pia.
Pata majibu kabisa ndo maana kukawa na freedom of speech..uyapendao wewe na kukubaliana nayo sio lazima tufanane..
Sijamdiss Kiba...ninetoa opinion zangu dms aka mwana sio nyimbo nzuri kwa masikio yangu..wanaojua mziki watakueleza haya..
Chorus iko kila sehemu ujumbe haueleweki kapanick..kama huu ndo ujio wake kachemka vibaya...
Jamani hands down..Ruge is a Genius
Mofo...Huyu nshomile kweli yuko creative..haya wakati mkilalamika na kuangaika yeye hutumia good marketing skills ambazo pia kasomea..anawaibia behind the scenes sasa mkito ni project ambayo Ruge hau clouds iko fully involved..
Na ukichek wasanii ambao wako signed 99.5% ni THT..including Dangote aka Platnumz ambaye yuko signed and management by Ruge..and not babu tale na wengine kama wanavyozuga..inshort Tale and em all do the dirty job..the man behind signs and laughs all the way to the bank..all these us meetings za Dangote,kumeet mr President,all major endorsement ni Ruge..haya sasa wale wanoendelea kuiponda clouds na kusema jamaa mnyonyaji wasubiri sana.
That makes the two of us then..pathetic sees pathetic...Robot sees robot..so well done u for being so pathetic..what a MUG..Pathetic....hivi na wewe ni binadamu.? maana maandishi yenyewe yamekaa kirobott...mods wekeni procedure kuzuia marobott kama hili kuingia humu
Hii ni habari au unachangia thread ! Vou etes stupide
Mkuu LBG with due respect,una uhusiano na LBTG??!!
Nauliza tu ila kama huna basi tafakari kuachana na hiyo id yako,kiroho safi tu Mkuu kwani iko very close na mambo tata!!
Hahaaasi umfafanulie ni ushoga na usagaji
Safi Ruge!
Vouz etes stupide??? Votre stupide