Tovuti ya mahusiano & urafiki Tz

asaliwamoyo

New Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
1
Reaction score
0



www.asaliwamoyo.co.tz



Asali wa moyo - Mtandao wa Urafiki na Mahusiano kwa Kiswahili.

Asali wa moyo ni mtandao unaokuwezesha kutafuta marafiki na mwenza wako kwa njia ya mtandao. Lengo kubwa la Asali wa Moyo ni kuwapa nafasi watu makini kuweza kutafuta wenza wao kwa urahisi zaidi.

Ikumbukwe kuwa, walengwa wa asali wa moyo ni watu walio makini ambao wanakuja hapa kutafuta wenza wao hivyo timu nzima ya asali ya moyo itahakikisha mila, desturi na maadili ya mtanzania yanazingatiwa.

Je wewe ni mtu makini, njoo asali wa Moyo kumpata mwenza wako.

Offer: Kwa wote watakaojiunga kuanzia December 7 hadi January 7 watapata nafasi ya kuwa Premium Member kwa miezi miwili.
 
Mhii aya makubwa tovuti ndani ya tovuti
 
haya ni matangazo ya biashara ambayo inabidi ulipie,watu wengi wanatangaza matangazo yao JF bure, inasikitisha.
 
for sure mkuu... mie naweza maliza week nzima bila kuvisit blog zingine tofauti na JF....

zamani nlikuwa nasoma sana blogs,nilipogundua kuna hi kitu JF, sijawahi fungua blog yoyote tena.kila kitu kipo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…