Akida kaka
Member
- Feb 17, 2011
- 53
- 5
Hivi hawa watu wanaosimamia tovuti ya chuo kikuu cha dar es salaam wako makini kweli?
Yaani leo nimekitana na mambo ya ajabu sana, nilikua natafuta maelezo zaidi kuhusu Postgraduate studies,
Nilifuata kiunganishi hiki i University of Dar es Salaam - Postgraduate - Postgraduate nilichagua kiunganishi kilichoandikwa school of graduate studies
mambo niliyokutana nayo hayafai kabisa hii ni aibu kwa taifa.
Rekebisheni haraka jamani haya si maadili yetu.