Tovuti ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (udsm.ac.tz) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tovuti ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (udsm.ac.tz)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Akida kaka, Jan 26, 2012.

 1. A

  Akida kaka Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hivi hawa watu wanaosimamia tovuti ya chuo kikuu cha dar es salaam wako makini kweli?

  Yaani leo nimekitana na mambo ya ajabu sana, nilikua natafuta maelezo zaidi kuhusu Postgraduate studies,
  Nilifuata kiunganishi hiki i University of Dar es Salaam - Postgraduate - Postgraduate nilichagua kiunganishi kilichoandikwa school of graduate studies

  mambo niliyokutana nayo hayafai kabisa hii ni aibu kwa taifa.

  Rekebisheni haraka jamani haya si maadili yetu.
   
 2. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  noma mkuu nimeshuhudia live kwa macho yangu,mwenye access na wahusika awajuze haraka
   
 3. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Toba Maulana!!!! Duh, yaani hii ni kasheshe. Tovuti ya Chuo cha Taifa ndio imekuwa hivi.
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
 5. m

  mANg'HOnDi Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 6. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kha...hatari jamani hii!
   
 7. s

  sugi JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  ni baraaa!
   
 8. MWAKIGOBE

  MWAKIGOBE Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmmmmmhhhh, wakuu hii ni aibu kwa miaka 50 ya uhuru.
   
 9. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mhh! Hii balaaa. Du nomaa
   
 10. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Siamini majicho yangu jamani.
   
 11. MWAKIGOBE

  MWAKIGOBE Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapa kunakamchezo wakuu, mbona ukiandika hiyo link kwa upya inafungua vizuri tu mambo ya chuo? ila ukilink hii ya humu ndo inaleta ngono.
   
 12. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,035
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  mbona ipo poa, nimefungua link ulizotoa haina shida yoyote. Na hata ingekuwa inamatatizo katika mitandao ni mambo ya kawaida tu, kuna kipindi website ya TRA ilivamiwa pia
   
 13. A

  Akida kaka Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nakubali sasa hivi hakuna tatizo tena. hatamimi namejaribu kuingia muda huu iko sawa
  lakini wajifunze kuweka ulinzi zaidi hii ni aibu kubwa.
   
 14. Bob

  Bob JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 10, 2007
  Messages: 277
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Imerekebishwa.
  Nahisi kuna ka-uzembe fulani.
   
 15. a

  apollostima New Member

  #15
  Oct 5, 2015
  Joined: Sep 26, 2015
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vp huku
   
Loading...