Tovuti ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (udsm.ac.tz)

Akida kaka

Member
Feb 17, 2011
53
5
Hivi hawa watu wanaosimamia tovuti ya chuo kikuu cha dar es salaam wako makini kweli?

Yaani leo nimekitana na mambo ya ajabu sana, nilikua natafuta maelezo zaidi kuhusu Postgraduate studies,
Nilifuata kiunganishi hiki i University of Dar es Salaam - Postgraduate - Postgraduate nilichagua kiunganishi kilichoandikwa school of graduate studies

mambo niliyokutana nayo hayafai kabisa hii ni aibu kwa taifa.

Rekebisheni haraka jamani haya si maadili yetu.
 
noma mkuu nimeshuhudia live kwa macho yangu,mwenye access na wahusika awajuze haraka
 
Toba Maulana!!!! Duh, yaani hii ni kasheshe. Tovuti ya Chuo cha Taifa ndio imekuwa hivi.
 
mbona ipo poa, nimefungua link ulizotoa haina shida yoyote. Na hata ingekuwa inamatatizo katika mitandao ni mambo ya kawaida tu, kuna kipindi website ya TRA ilivamiwa pia
 
nakubali sasa hivi hakuna tatizo tena. hatamimi namejaribu kuingia muda huu iko sawa
lakini wajifunze kuweka ulinzi zaidi hii ni aibu kubwa.
 
Back
Top Bottom