Tovuti ya BBC Swahili imefungiwa Tanzania

Tovuti ya BBC Swahili imefungiwa Tanzania

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
830
Reaction score
672
Najaribu kuperuzi wavuti wa BBC Swahili ila siwezi kuufikia, Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio ila baada ya kutumia vpn nimeweza kuufikia.

Swali kwa TCRA: Je mmefungia baada ya repoti ya BBC eye au?
 
VPN imekuwa mkombozi wa wanyonge!

Napata picha siku zijazo...kila tovuti itakuwa built-in na VPN Ndani yake!... siku si nyingi.
😂😂😂😂 Sijui watafanyaje...watazima internet yote. Kama walivyofanya wakati wa mauaji. Japo najiuliza waliopata hasara kampun hizo mabilioni wamefanyaje hakuna hata mmoja aliefungua kesi
 
😂😂😂😂 Sijui watafanyaje...watazima internet yote. Kama walivyofanya wakati wa mauaji. Japo najiuliza waliopata hasara kampun hizo mabilioni wamefanyaje hakuna hata mmoja aliefungua kesi
Makampuni makubwa, yanayojitambua, HUWA HAYATUMII INTERNET YA NDANI YA NCHI HATA SIKU MOJA!.... Jaribu kuchunguza, huwa wanatumia satellite 🛰 Internet....

Wengi wao ingawa waliingia hasara wamekaa kimya.. wakapotezea+ uoga wa kuhofia mamlaka kuwawekea vikwazo visivyo vya msingi ama kuwaondolea baadhi ya privileges.
 
Najaribu kuperuzi wavuti wa BBC Swahili ila siwezi kuufikia, Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio ila baada ya kutumia vpn nimeweza kuufikia.

Swali kwa TCRA: Je mmefungia baada ya repoti ya BBC eye au?
The guilty are afraid!
 
Hata wakifungia ,taarifa watazipata tu ,kuna jamaa yangu hana smartfon ana kiswaswadu ila taarifa zote zinazotokea anazijua hadi tar 30 Oct 2025 aliniambia issue za maiti zaidi ya 200 kwenda kufukiwa na malori nikaona kama uongo ila baada ya mitandao kufunguliwa ndiyo nikaamini.

kwahiyo kufungia mitandao haisaidii kitu maana watumiaji wa mitandao wanajua what is VPN so ukifungia wanatumia kwa VPN na wakishapata watuwahadithia ngugu ,jamaa na marafiki kwahiyo watpata tu taarifa.
 
BBC zote , Al Jazeera na Jf hazifanyi kazi Tz
 
Back
Top Bottom