Tovuti hii sikuwahi kuiwaza hapa Bongo

Tovuti hii sikuwahi kuiwaza hapa Bongo

Kw amfano nimeona PC katika website ya Amazon inagharimu dola 247/. Je mpaka ifike hapa TZ mtanichaji kiasi gani?? Je bidhaa mliyoniagizia ikatokea ikapotea nini kinafanyika??
Ki msingi amazon hawaship Tanzania, ila bahati nzuri sisi tuna account kweny forwarding company inaitwa www.myus.com hao huwa wanatuletea mzigo.
Kwa hiyo pc uliyouliza, cif price itajulikana tukiplace order na tukauliza shipping charges. Au basi tuchukulie imegarimu dola 350 hadi unaipokea, sisi yetu ni dola 35.
Kuhusu kupotea, huwa inawezekana mzigo kupotea ila sio mara nyingi. Ikitokea, shipper atakuwa responsible kulipa. Sisi tunazingatia sana sera za money security. So, sisi tutafungua kesi kudai na sisi ndo tutakuwa respondents ktk kesi hiyo. Imewah kutokea mara kadhaa na pesa ilirudi bila shida kabisa.
Majibu zaidi yapo hapa www.kalumbilo.co.tz/faq.html
 
Wakuu salam!

Leo nimeona niwashirikishe habari hii hasa wadau wa manunuzi online. Kuna jamaa ambao ni member wa humu JF (mmoja ni Konzogwe nahisi), wamefungua kampuni inayosaidia watu wanaotaka kununua online ila wanashindwa. Wao wakikufanyia kazi unawalipa commission kidogo.

Web yao ni hii hapa www . kalumbilo . co. tz. Watembelee uone, mi tayari nimepata huduma yao.
Naona mmeamua kuipa promo kampuni yenu,hapa JF kuna mada ambazo zimeelezea vizuri kama unataka kununua vitu online
 
Wakuu salam!

kampuni inayosaidia watu wanaotaka kununua online ila wanashindwa. Wao wakikufanyia kazi unawalipa commission kidogo.
Zingatia matumizi mazuri ya lugha yako. Hawa niwafanya biashara, hawasaidii kitu.
 
10% of CIF price. Naamini unajua maana CIF. Ila kwa wale wasiojua CIF ni kifupi cha Cost+Insurance+Freght, kwa maana nyingine garama yote utakayolipa kule mfano japan, asilimia kumi yake ndo commission yetu. Mfano ukilipa milion 4 CIF basi ya kwetu ni laki nne tu. Na hiyo garama itajumuisha shughuli zote za mawasiliano na kutafuta clearing agent. Ww tutakuarifu ulipaj wa ushuru ukiwa hapo hapo ulipo na mwisho kabisa tutakuarifu siku ya kwenda kuchukua mzigo wako. Hautakuwa na uhangaikaji wa kusafirisafiri kufatilia clearance ya mzigo wako. Kwa maswali zaidi check page yetu ya FAQs (Kalumbilo Imports & Commission Agency Co., Ltd: an importing agent in Tanzania)

Hizi formula zenu zimetokana na nini wakati insurance mteja keshalipia?
Formula ya 10% sio kila mahala unaweza kuitumia. Ndio maana biashara nyingi hazikawii kufa; ni kutokana na makosa kama haya. Hiki mnachofanya kina jina jingine na sio biashara.

Mtu akifanya shughuli yenye tija kwa kupata faida ya haraka hata kama ni mara dufu lakini kwa kutoa huduma inayohitajiwa na wateja kwa kutatua tatizo fulani mimi sina tatizo. Ila ninyi mnavuta hela nyingi kuliko hata wa insurance, na kwa bidhaa nyepesi za thamani kubwa faida yenu ni nono kuliko anavyotoza insurance+shipping put together. Kwa kazi ipi hasa? What are your risks?
 
​

mkuu lazydog, nahisi unaweza kutushauri vizuri, tunahitaji ushauri na maoni ili tutoe huduma nzuri kwa manufaa ya ya jamii tunayoihudumia na sisi wenyewe. Kama hautojali, naomba utupe maoni yako kupitia form yetu iliyopo ukurasa wetu wa contact us (www.kalumbilo.co.tz/contactus.html)
 
Jina la website baya
Huwezi kucram haraka
Badilisha
 
Hahahaaaaa!!!… asante bwana supersami kwa appreciation. Ni kweli mimi mmoja wapo, karibu na pia nashukuru kwa kututangaza. Tunawakaribisha wote kweny kampuni yetu ya kizalendo. Najua wengi humu mnaweza kununua online, ila ukitingwa na shughuli zako basi tupe kazi tukufanyie. Malipo yetu ni kidogo tu. Nawakaribisha wote.

Pamoja Sana wakubwa. Big up
 
dah nimeanza kuvutiwa na hawa jamaa ila sijajua kama ni kwel
 
10% of CIF price. Naamini unajua maana CIF. Ila kwa wale wasiojua CIF ni kifupi cha Cost+Insurance+Freght, kwa maana nyingine garama yote utakayolipa kule mfano japan, asilimia kumi yake ndo commission yetu. Mfano ukilipa milion 4 CIF basi ya kwetu ni laki nne tu. Na hiyo garama itajumuisha shughuli zote za mawasiliano na kutafuta clearing agent. Ww tutakuarifu ulipaj wa ushuru ukiwa hapo hapo ulipo na mwisho kabisa tutakuarifu siku ya kwenda kuchukua mzigo wako. Hautakuwa na uhangaikaji wa kusafirisafiri kufatilia clearance ya mzigo wako. Kwa maswali zaidi check page yetu ya FAQs (www.kalumbilo.co.tz/faq.html)

Huo ushuru nitakaolipa ni tofauti na insuarance au unazungumzia ushuru wa ndani ya nchi? Sijaelewa mkuu
 
​

Hizi formula zenu zimetokana na nini wakati insurance mteja keshalipia?
Formula ya 10% sio kila mahala unaweza kuitumia. Ndio maana biashara nyingi hazikawii kufa; ni kutokana na makosa kama haya. Hiki mnachofanya kina jina jingine na sio biashara.

Mtu akifanya shughuli yenye tija kwa kupata faida ya haraka hata kama ni mara dufu lakini kwa kutoa huduma inayohitajiwa na wateja kwa kutatua tatizo fulani mimi sina tatizo. Ila ninyi mnavuta hela nyingi kuliko hata wa insurance, na kwa bidhaa nyepesi za thamani kubwa faida yenu ni nono kuliko anavyotoza insurance+shipping put together. Kwa kazi ipi hasa? What are your risks?

Ua right,the only risk they might get is when ua items is missing/fail to reach u,10% is so big
 
Back
Top Bottom