Tours for Students/everyone

Tours for Students/everyone

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,201
Reaction score
6,269
Habari zenu wakuu, nimeamua kufanya business ya tours kwa wale wenye kutaka kutembea Zanzibar. Lengo hasa ni kuwa target wanafunzi wa shule mbali mbali Tanzania na kuwawezesha kuja Zanzibar kimatembezi. Kama wewe ni mwalimu au unahisi kuna shule wanataka kufanya safari ya kuja Zanzibar tafadhali nijuilishe ili niorganize kwa ajili yako/yao. Hata wanaunzi wa vyuoni pia wanakaribishwa. Package kwa ajili yao ina include ticket ya Go and Return from Dat to Znz (ferry ticket), pia Accomodation ya 4 nights katika hotel iliyopo stone town, Transportation from and to town, prison island trip, dolphin trip, north coast trip. Kama upo intrested tafadhali ni pm, au pia kama unaweza kutuunganisha na shule yoyote pia nitumie pm ili tujadili. Spread the word please
 
Mkuu ni pm namba yako
 
good idea, why zanzibar peke yake? mngekuwa na program ya kwenye mikoa mingine.
 
Mimi nafanya katika mikoa ta Tanga kama kutembelea Mapango ya Amboni na Maji Moto,Tongoni Ruins,Pangani na Lushoto,pia ninafanya kazi katika mikoa ya Kilimanjaro kama kutembela Materuni water falls,kupanda mlima Kilimanjaro,katika mkoa wa Arusha nina andaa kutembelea Meserani Snake park halikadhalika kutembelea hifadhi za taifa kama Lake Manyara,Ngorongoro nk Kama unahitaji huduma mojawapo niPM tufanye mazungumzo.

good idea, why zanzibar peke yake? mngekuwa na program ya kwenye mikoa mingine.
 
Mwenye contacts za Baobab secondary school wakuu anisaidie
 
Back
Top Bottom