dickson longo
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 232
- 52
Wakuu msaada wenu,natumia HTC radar simu ipo vizuri lakini sasa navyopiga au kupigiwa kioo kinakuwa undispray yani kinazima hakitaki kuwaka kabisaa mpaka ninaeongea naye akate simu ndipo kinawaka tena.Tatizo ni nini?msaada wenu.