Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 62,154 Reaction score 38,543 Feb 7, 2015 #1 Wazee was bet wekeni mzigo arsenal nawahakikishia mtakuja nikumbuka!!kila LA kheri wote
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,338 Reaction score 111,578 Feb 7, 2015 #2 Mimi sio mpenzi wa Arsenal lakini naona hiyo ni mechi nyepesi sana kwao pamoja na upinzani walionao dhidi ya Spurs....
Mimi sio mpenzi wa Arsenal lakini naona hiyo ni mechi nyepesi sana kwao pamoja na upinzani walionao dhidi ya Spurs....
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Feb 7, 2015 #3 FT. Tottenham 2 Arsenal 1
S slimhamimu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 327 Reaction score 114 Feb 7, 2015 #4 Tottenham kwa Arsenal ni kama mbwa kwa chatu, lazima tottenham akae tu
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,453 Reaction score 10,059 Feb 7, 2015 #5 North London Derby...Droo inahusika zaidi hapo..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,338 Reaction score 111,578 Feb 7, 2015 #6 Hadi sasa Spurs kashachezea kimoja
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,338 Reaction score 111,578 Feb 7, 2015 #7 jogi said: FT. Tottenham 2 Arsenal 1 Click to expand... Kama utakuwa ulibet basi ushalamba mpunga sasa...
jogi said: FT. Tottenham 2 Arsenal 1 Click to expand... Kama utakuwa ulibet basi ushalamba mpunga sasa...
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,219 Reaction score 15,612 Feb 7, 2015 #8 Arsenal kafa 2-1....